album cover

Risky

3Hip-Hop/Rap2026
album cover
Risky was released on November 6, 2026 by GTB Emzee as a part of the album Risky - Single
ReleasedNovember 6, 2026
LabelGTB Emzee
BPM73
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Kila **** anajua the risk ya kuwa a man
Kila rapper anang'am risk ya kugotha fan,
Ni risky kukuwa broke,
Even riskier kukosa plan,
Ukidai inakua, nishazua, abadan katan,
Kila **** anajua the risk ya kuwa a man
Kila rapper anang'am risk ya kugotha fan,
Ni risky kukuwa broke,
Even riskier kukosa plan,
Ukidai inakua, nishazua, abadan katan,
Mr Barry Otieno,
Ganji naishow hello,
Na ka hiyo ass ni jello, na forget mon chendo
Kujituma kitendo, we sahau maneno,
Guap inakam ikitoka kiasi ni call Geno
Niko bukla na make it rain, koth biro,
Sikunywi gilo,
Hata ka nilikushow mi huku fancy,
Mi si fan mi hu fancy do,
Show and tell na test your jaw,
Vile ganji hu flow , period,
Itabidi ni download app ya flow, (ndio niflow nayo)
Kila **** anajua the risk ya kuwa a man
Kila rapper anang'am risk ya kugotha fan,
Ni risky kukuwa broke,
Even riskier kukosa plan,
Ukidai inakua, nishazua, abadan katan,
Kila **** anajua the risk ya kuwa a man
Kila rapper anang'am risk ya kugotha fan,
Ni risky kukuwa broke,
Even riskier kukosa plan,
Ukidai inakua, nishazua, abadan katan,
Huaga ni bad huaga ni ringo,
Huaga bado ni risky bila kakitu kwa ripo,
Absolute ni vodka ndani nimewasetia people,
Gwanda inafikisha kilo, shingo inasmamisha tiplo,
Natembea nkiwaasha ki J J bud im making the wind blow,
Mi ni G nko Tipsy vile zimeritipo,
Vile nimekuja malich scene inabaki ni licho,
Vile flow imekuja mangich wanisa inabaki wangicho,
Naskia nkurisky Huuku-ndani kuna afande,
Wanatufrisk ndo wakatiwe kipande,
Design tunaball suwachezea handy,
Scene inakuaga creepy nkitembea na my bloody,
Andale, njege ashalia ji andae,
Finally,lap ni shomwi FINALE,
Story iko, spiced up bizarre,
Biz ni ya monkey trickery,
Kila **** anajua the risk ya kuwa a man
Kila rapper anang'am risk ya kugotha fan,
Ni risky kukuwa broke,
Even riskier kukosa plan,
Ukidai inakua, nishazua, abadan katan,
Kila **** anajua the risk ya kuwa a man
Kila rapper anang'am risk ya kugotha fan,
Ni risky kukuwa broke,
Even riskier kukosa plan,
Ukidai inakua, nishazua, abadan katan,
Written by: Alloys Otieno, Marvin Jude

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...