album cover

Asapa

274Hip-Hop/Rap2026
album cover
Asapa was released on November 13, 2026 by BuruklynBoyz58 as a part of the album Asapa - Single
ReleasedNovember 13, 2026
LabelBuruklynBoyz58
BPM104
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Game 90
Game 90
Game 90
Game 90
Game 90
Ayo Rastalion im never going back to the field Selassie and I know that
Rasta yoyo asapa
Digi ki cuban kwa shingo asapa
Namba uno ni mjamo na ni mi Asapa
Wanabanja wakiwa kwao lakini si Asapa
Na mjue ni Game 90 hatumblein Asapa
Hatumblein Asapa ,
Naeza tokea yard yako na my chains nitavaa
Unadhani mi ni babii usinitry ndakuvaa
Mi ni ka mbuku usini judge venye nakaa.
 
Ka msee amededi namba uno siishi
Ata wabonge choo juu yangu sitishwi
Show mambleina asapa hatu tii shit, hatu tii shit, hatu tii shit
Ka msee amededi namba uno siishi
Ata wabonge choo juu yangu sitishwi
Show mambleina asapa hatu tii shit, hatu tii shit, hatu tii shit.
Step, Step, Step kaa we ni mbad now
Make sure unaeza back your mans
Step, Step, Step kaa we ni mbad now
Make sure unaeza back your mans
Usimwache raani utapoteza chaji
Ye si gansgster ni boy tu akona kipaji
nani watiaji
Wasake uradi
One man na shank yangu siitaji army.
Rasta yoyo asapa
Digi ki cuban kwa shingo asapa
Namba uno ni mjamo na ni mi Asapa
Wanabanja wakiwa kwao lakini si Asapa
Na mjue ni Game 90 hatumblein Asapa
Hatumblein Asapa ,Naeza tokea yard yako na my chains nitavaa
Unadhani mi ni babii usinitry ndakuvaa
Mi ni ka mbuku usini judge venye nakaa.
Mrrrr
Am live in the flesh Asapa
Anaku mwingine kaa me Asapa
Baggy unit this season ndio na vaa
Nairobi jungle but pori imeja Auwezi yap yap yap Asapa
Utaganda jicha na sijui kaa ukona SHA
Ma bling nime buy nime sell ni kathaa
Naweza hesabu ma mblaina tumewakata ni kathaa
Scarface mi ndio tony Montana
Game tisini usithani tumeishana
Focer za black Jicha ana step sana
Twende videvu nikitoa shang utaitana.
Rasta yoyo asapa
Digi ki cuban kwa shingo asapa
Namba uno ni mjamo na ni mi Asapa
Wanabanja wakiwa kwao lakini si Asapa
Na mjue ni Game 90 hatumblein Asapa
Hatumblein Asapa ,Naeza tokea yard yako na my chains nitavaa
Unadhani mi ni babii usinitry ndakuvaa
Mi ni ka mbuku usini judge venye nakaa.
Written by: Jayson Reynold, Mr Right

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...