album cover

We Apo

4Afro-Beat2026
album cover
We Apo was released on November 13, 2026 by MUZIKI HISIA as a part of the album We Apo - Single
ReleasedNovember 13, 2026
LabelMUZIKI HISIA
LanguageEnglish
BPM85
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Wewe hapo ndio nakupenda ujue
Usiwe na shaka moyo wangu ni wako
Wewe hapo ndiye niliyechagua
Katika dunia hii wewe ndiye wangu
Nipe mkono wako twende tukajenge maisha
Tukapambane pamoja tufike ndoto zetu leo
Sina menga kinini na nini anje
Ma kesho kifanikiwa itakumbuka
Tulikotoka napenda vile unavyonuna
Ukibembeleza unacheka
Napenda vile unavyoniita
Sauti yako inaniteka
Hata hata ukinikasirikia
Siwezi kukuchukia
Kamaana moyo wangu baby umeshakuzoea
Kuna uzuri wa sura
Lakini wako una zaidi
Kuna mapenzi ya maneno
Lakini mimi nataka vitendo
Nitakupa nafasi yangu
Nitakupa heshima yangu
Na kama kuna kuchagua
Bado nitakuchagua wewe
Wewe hapo ndio nakupenda ujue
Usiwe na shaka moyo wangu ni wako
Wewe hapo ndiye niliyechagua
Katika dunia hii wewe ndiye wangu
Nataka tuzeke pamoja
Nieleze tu zige ukenye upe
Tukiwa tunakumukana
Tulikotoka na tulipo fika
Tukiwa na watoto wetu
Tukisimulia mapenzi
Tikicheka na kufurahi
Kwa baraka za maisha yetu
Sihitaji kuwa tajiri
Ndipo nikuonyeshe thamani
Sihitaji kuwa maarufu
Ndipo nikuende kwa dhati
Ninachohitaji baby
Iwe wewe kuwa upande wangu
Tujengee tu taratibu
Mpaka ndoto ziwe kweli
Wewe hapo ndio nakupenda ujue
Usiwe na shaka moyo wangu ni wako
Wewe hapo ndiye niliyechagua
Katika dunia hii wewe ndiye wangu
Wewe wewe ni raha yangu
Wewe wewe ni furaha yangu
Nikikukosa nakumiss
Nikikuwaana nianapata mali
Wewe hapo ndio nakupenda ujue
Wewe hapo ndio moyo wangu ni wako
Hata miaka ikipita
Mapenzi yangu hayatabadilika
Tangu nilipokukujua
Maisha yamebadilika
Nilikuwa naishi kawaida
Sasa wewe unafurahi
Nikila nakuwaza
Nikiomkana kutafuta
Hata nikiwa mbali nawe
Mawazo yanakufuata
Sijui unanini baby
Mpaka nimekuwa hivi
Umeniteka taratibu
Mpila kutumia nguvu
Nikija na jina lako
Tabasamu linaniia
Nikiakisikia sauti yako
Moyo unarukaruka
Written by: Hisia Melody

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...