album cover
Omba
361
Christian & Gospel
Omba was released on August 24, 2013 by AFRICHA ENTERTAINMENT (PM) LTD as a part of the album Through It All
album cover
Release DateAugust 24, 2013
LabelAFRICHA ENTERTAINMENT (PM) LTD
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM71

Music Video

Music Video

Credits

Lyrics

...
Kesha ukiomba aaaah
Kesha ukiomba aaaah
Maana adui naye atafuta waliolala
Ili awangamize roho yangu usilale
Majaribu na shida zimetusonga
Shetani ajaribu kutuandama kila wakati
Wenzangu tusimame imara kwa wokovu
Tukeshe tukiomba na yote tutashinda
Kesha ukiomba aaaah
Kesha ukiomba aaaah
Maana adui naye atafuta waliolala
Ili awangamize roho yangu usilale
Wakrito tu wanyonge wa mwili na wa roho
Twamwomba MUNGU wetu usiku na mchana
Atupe nguvu zake tushinde yule mwovu
Maana bila yeye sisi hatutaweza
Kesha ukiomba aaaah
Kesha ukiomba aaaah
Maana adui naye atafuta waliolala
Ili awangamize roho yangu usilale
...
Shambami Gethsemane Yesu aliomba
Baba kiondoe kikombe cha machozi
Maana sio mapenzi yangu yatimizwe
Bali mapenzi yako Baba yatimizwe
Mungu kampa nguvu kashinda majaribu
Kesha ukiomba aaaah
Kesha ukiomba aaaah
Maana adui naye atafuta waliolala
Ili awangamize roho yangu usilale
Kilio ninacho mimi ni kwa wale wameokoka
Adui ameamua kamwe hatatuacha
Aleta majaribu usiku na mchana
Vijana nawaomba wazee na watoto
Tusimame imara na yote tutashinda
Kesha ukiomba aaaah
Kesha ukiomba aaaah
Maana adui naye atafuta waliolala
Ili awangamize roho yangu usilale
Kesha ukiomba aaaah
Kesha ukiomba aaaah
Maana adui naye atafuta waliolala
Ili awangamize roho yangu usilale
Written by: Paul Mwai
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...