Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Elani
Elani
Performer
Kevin Macharia
Kevin Macharia
Remixer
COMPOSITION & LYRICS
Elani
Elani
Songwriter
Bryan Chweya
Bryan Chweya
Songwriter
Freddy W. “Dillie”
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Wambui Ngugi
Wambui Ngugi
Producer

Lyrics

Huku kijijini unafanya nini Mimi na muziki, shilingi kwa ya pili Tumetoka mbali Tumetoka mbali, mimi na muziki Watu wa baridi, waona wakirihi Tamaa mimi sifi, ninajua mimi Nitagunduliwa, kwa sanaa hii Bridge Walimu wacha walimu wacha Silali muacha walimu wacha Chukua chukua chukua chukua chukua hatua Hali duni kila siku hivo hivo Malenga hawakutunga mashairi walinena Mapenzi siyo mali, usichoke kula ugali Wooi wooi my dear usijali Mwisho basi sisi sote tutajivinjari Tutajivinjari tutajivinjari eeh Na tukunywe chai Bridge Walimu wacha walimu wacha Silali muacha walimu wacha Chukua chukua chukua chukua chukua hatua Hivi punde, maisha yangu yatabadilika Mi natarajia Baada ya dhiki wajua ni faraja Sikudhani Sikudhani Baada ya dhiki wajua ni faraja Sikudhani Sikudhani Bridge Walimu wacha walimu wacha Silali muacha walimu wacha Chukua chukua chukua chukua chukua hatua
Writer(s): Brian Chweta Omwoyo, Maureen Muthoni Kunga, Wambui Ngugi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out