Şarkı sözleri

Maji yangu ya macho imenitoka na huruma Kwa kuona watu wawili wanakabulana Mwengine 'naenda, mwengine 'nabaki ya huruma Juu ya safari Safari oh, safari Umeumiza moyo Uende, uende ndugu Kisha masiku kwa nguvu ya mola Tutaonana tena Mimi leo naenda tumelakana na we' Nikishafika ntakutumia mukanda Kwakukujulisha nimefika mzima Safari, eh Safari eh, safari Umeumiza moyo Uende, uende ndugu Kisha masiku kwa nguvu ya mola Tutaonana tena Watu wengine wanasafiri kwa ndege Watu wengine wanasafiri kwa mashua, ah-ah Watu wengine wanasafiri kwa gari Watu wengine wanasafiri kwa miguu, uh-uh Safari, safari Safari, safari Safari, safari
Writer(s): Pharrell Williams, Alejandro Ramirez Suarez, Bianca Landrau, J Balvin Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out