Şarkı sözleri

M.I mbaga Ucheshi na sauti amenifanya nammiss tu Mwambie asiogope Ali ni kipenzi cha watu Ntafanya party nyumbani hiyo yote kwa ajili yake Tena asije peke yake asiogope aje na wenzake Ntafanya party nyumbani hiyo yote kwa ajili yake Tena asije peke yake asiogope aje na rafiki zake eh Basi mwambie aje (aje) oh aje (aje) Aje na rafiki zake (aje) asije peke yake (aje) Oh aje (aje) aje oh aje (aje) Aje jamani aje (aje) aje nammiss aje (aje) Uzuri wake timilifu nishamuona na watu maarufu tu Kina wema Sepetu Nikaomba namba kichwa akanishushua shuu Ilinikosesha raha Lulu nae kamdanganya aah Kwamba mi ni wa kwake aniogope tena asinichekee Ilinikosesha raha Lulu nae kamdanganya oh Kwamba mi ni wa kwake aniogope tena asinichekee Basi mwambie aje (aje) oh aje (aje) Aje na rafiki zake (aje) asije peke yake (aje) Oh aje (aje) aje oh aje (aje) Aje jamani aje (aje) aje nammiss aje (aje) M.I mbaga I say I say I say... I'm gonna marry you one day come through baby girl I just want us to speak see we met on a Monday You must be next Monday cause you make it one week Have you been to the west side? Forget whatever you seen on them Nollywood films I wanna be your best guy So let's try till you testify no one's better than him So baby, give me your digits Let me google map location come and visit You should show up in something exquisite I can come over to yours girl where is it? You could teach me to speak in Swahili Like sawa sawa mambo vipi? Can you tell that I'm feeling you really? Ali Kiba and M.I, my baby, I know that you feel me Basi mwambie aje (aje) oh aje (aje) Aje na rafiki zake (aje) asije peke yake (aje) Oh aje (aje) aje oh aje (aje) Aje jamani aje (aje) aje nammiss aje (aje)
Writer(s): Louw Jandre Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out