Şarkı sözleri

Blaq (blaq) Blaq kwenye beat They call me toto bad Sir God kaumba kapatia Hana dosari anavutia Sebule kwa chumba kajazia Ladha asali ananatia Akitupia anapendeza kama mdoli Lips color mpaka raha kama kachori Namba D car haijatembezwa bado kigoli Kama kungu kala mpaka raha jicho goroli Kama samaki sangara hiyo mikogo Manyaku kama nawaona mimacho kodo mie Akinitachi tachi moyo una dundaga Una dundaga Akisema sitaki akinuna moyo una dundaga Una dundaga Wapo wataosema hunifai ili wakuchukue Waniachie majanga penzi wachakachue Watakodi mandinga matai ili wakuzuzue Wajitie waganga penzi waligangue Ujasiri sina wakuvumilia ninapoumizwa Huo moyo sina nikizama kina mpaka giza Kama samaki sangara hiyo mikogo Manyaku kama nawaona mimacho kodo mie Akinitachi tachi moyo una dundaga Una dundaga Akisema sitaki akinuna moyo una dundaga Una dundaga Manyaku nyaku manyaku nyaku Manyaku nyaku manyaku nyaku Manyaku nyaku manyaku nyaku Manyaku nyaku manyaku nyaku The mix killer Ostrich music
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out