Şarkı sözleri

Upendo wako wanijaza na furaha Neno lako ndilo nguzo na silaha Yesu wewe watosha Yesu Mchungaji wangu Sitapungukiwa na kitu Kando ya maji matulivu huniongoza Pokea dhabihu yangu Na wimbo wa moyo wangu Maisha nakutolea Niongoze unavyo penda Eh Bwana Wewe ndiwe tumaini la uzima Ahadi zote ni za milele Yesu Wewe watosha Yesu Mchungaji wangu Waburudisha nafsi yangu Kikombe changu kimejazwa vizuli Pokea dhabihu yangu Na wimbo wa moyo wangu Maisha nakutolea Niongoze unavyo penda Eh Bwana Nitaimba sifa zako bwana Nitaimba tenzi za rohoni Umetenda mambo makuu Wewe ndiwe njia na uzima Pokea dhabihu yangu
Writer(s): Fabrice Nzeyimana Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out