album cover
Ex
2.501
Dance
Ex adlı parça albümünün bir parçası olarak Lokotunes tarafından 7 Şubat 2020 tarihinde yayınlandıA17 Afro - EP
album cover
Çıkış Tarihi7 Şubat 2020
FirmaLokotunes
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji
BPM190

Krediler

COMPOSITION & LYRICS
Imani Chaula Estony
Imani Chaula Estony
Songwriter

Şarkı sözleri

Nyumba huwez jenga bila msingi
Gari bovu haliwezi kwenda bila kigingi
Secondary huwezi fika bila msingingi
Kama kupenda nilipenda hilo sipingi
Ulidanganywa na soda
Kumbe ndani wametia juice colla eeeh
Ukaniacha me bado
Wenye nazo wakakubena na korola eeeh
Ulitoroka manamba
Ukabebwa na washamba
Rafu ukacheza bila kipenga
Kisa ugali na mirendaa
Nikumumbuke nini kwako wewe
Hukuniamini Bwanaa
Hivi niliwaza nini kua na wewe
Mtoto wa mjini sanaaa
Chorus
EX ulinitesa sana bwana EX
Uliniumiza sana bwana EX
Sitaku miss maana nishaweka X-X-X-X
Ulinitesa sana bwana EX
Uliniumiza sana bwana EX
Sitaku miss maana nishaweka X-X-X-X
Nili kaza roho Kaza roho
Sikua nalala mpaka majogoo majogoo mama
Ulidata na wale mabishoo
Wazugaji kumbe hawana doo hawana doo mama
Nishapata mke mamiroo
Nishamuweka ndani ya bangaro bangaro mama
Ananipenda namlinda
Hawezi niacha ye ndo kuku me kinda
Nacho mpenda anavimba
Nachumbani kila mech anashinda
Nikumumbuke nini kwako wewe
Hukuniamini Bwanaa
Hivi niliwaza nini kua na wewe
Mtoto wa mjini sanaaa
Chorus
EX ulinitesa sana bwana EX
Uliniumiza sana bwana EX
Sitaku miss maana nishaweka X-X-X-X
Ulinitesa sana bwana EX
Uliniumiza sana bwana EX
Sitaku miss maana nishaweka X-X-X-X
Written by: Imani Chaula Estony
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...