album cover
Tulia
album cover
Tulia adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Bwenieve tarafından 31 Aralık 2019 tarihinde yayınlandıMatendo
AlbümMatendo
Yayın Tarihi31 Aralık 2019
FirmaBwenieve
BPM
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Şarkı sözleri

[Intro]
Tulia tulia na ujue
Mungu wako
[Verse 1]
Upitapo chini ya uvuli wa mauti usiwe na hofu
Asema Bwana yuko pamoja nawe
Atembea nawe, afuta machozi
Tulia, ujue yeye ni Mungu
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
[Verse 2]
Shida nyingi, mateso mengi, kilio kingi duniani
Jipe moyo utashinda
Aliyeanzisha, kazi nzuri ndani yako we
Ni mwaminifu kutimiza
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Akisema, atatenda
Ahadi zake hazivunjiki kamwe
[Verse 3]
Wewe Jehovah rafa, Jehova Jireh, Jehova Shalom Ebeneza
Ahadi zake hazivunjiki kamwe
Elshadai, Elgibo, wewe Jehova Shamah Ebeneza
Ahadi zako hazivunjiki kamwe
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Written by: Evelyn Wanjiru

Loading...