album cover
Ongeza
album cover
00:00
00:05
00:25
00:30
00:45
01:00
01:05
01:40
01:45
02:00
02:10
02:25
02:30
02:40
02:55
03:00
03:35
00:00
03:56
Geçtiğimiz 7 Gün
Ongeza geçen hafta yaklaşık 5 saniye civarında en sık keşfedilen şarkı oldu

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

Mi kwako sikuingia miguu, mikono hadi kichwa kiufupi mazima, nikiaminii wakufa kuzikanaa
Yani hoi sio nafuu mahututi kabisa hata mashaka sina, nikiaminii tutatengwa na Maulanaa
Mvumilivu ula mbivu, nimengoja mpaka zikaoza, naambulia maumivu ingali sina wa kunipoza
Sijui yangu stahamilivu kunyenyekea kwaniponza
Napambania utulivu mwenzangu chuki unaikoza
Sikukufuta tu machozi (Ulipolia nlilia na wewe), sa mbona wanilipa majonzi (Yani stress mapombe nilewe)
We ndio wangu Yesu Mkombozi, sa mbona Petro unaniacha mwenyewe
Nikose usingizi na njozi, ndio ufurahi? Okay sawa! Si unataka nitukanwe!
Ongeza, ongeza bado (Nidhalilike), ongeza, ongeza bado
(Nikose pakuificha sura) Ongeza, ongeza bado (Marafiki wanicheke, waning'ong'e adaah!), ongeza, ongeza bado
Kisicho kuua ukukomaza eti kiuaskari huo msemo mi nakataa
Maana jua linapoangaza ndio sina afadhali mie kwangu ni mabalaa
Najitahidi kumsinga mwali ila somo analikataa
Penzi letu si la kibatari, anayamwaga mafuta taa
Kutwa ni vurugu ndani purukushani apakaliki
Roho inaniuma yani, kwanini sa tunagombana sweet
Jema gani niambie labda nitende kipi, ata pakucheka honey, eti utani unapaniki, naelewa!
Riziki mafungu saba na la kwangu sita, naelewa!
Sikutoshi labda kukuridhisha
Sikukufuta tu machozi (Sii iih iih), ulipolia nililia na wewe (Nawewe!)
Sa mbona wanilipa majonzi, yani stress mapombe nilewe
We ndio wangu Yesu Mkombozi, sa mbona Petro unaniacha mwenyewe
Nikose usingizi na njozi, ndio ufurahi? Okay sawa! Si unataka nitukanwe!
Ongeza, ongeza bado (Nidhalilike), ongeza, ongeza bado
(Nikose pakuificha sura) Ongeza, ongeza bado (Ndugu jamaa wanicheke, waning'ong'e adaah!), ongeza, ongeza bado
Aah nikose pakuificha sura! Aah waning'ong'e adaah!
Written by: Nasibu Abdul Juma Issaack
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...