album cover
Shusha
album cover
Shusha adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak K Town Record Label - Dapstrem Entertainment tarafından 18 Aralık 2020 tarihinde yayınlandıShusha - Single
18 Aralık 2020
FirmaK Town Record Label - Dapstrem Entertainment
BPM
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Şarkı sözleri

Ni salama angamizo
Licha nnamatatizo
(S2keezy baby)
Nawashusha (shusha shusha)
Nawashusha (shusha)
Nawashusha (shusha shusha)
Nawashusha (shusha)
Eh wapo top ten (shusha shusha)
Wapo on trend (shusha)
Wapo top ten (shusha shusha)
Wapo on trend (shusha)
Nawashusha (shusha shusha)
Nawashusha (shusha)
Nawashusha (shusha shusha)
Nawashusha (shusha)
Wanataka shindana na Simba (shusha shusha)
Washindane na Dangote (shusha)
Wakati bado makinda (shusha shusha)
Mie maji wao tope (shusha)
Waulize wamesikia (wapi) panya kula paka (wapi)
Nasema wamesikia (wapi) kibogoyo akang'ata (wapi)
Wambie chocho (hili chocho watu huwa hawapitagi)
Ehh waambie chocho (sema fyoko tulianzishe vagi)
Nawashusha (shusha shusha)
Nawashusha (shusha)
Nawashusha (shusha shusha)
Nawashusha (shusha)
Eh wapo top ten (shusha shusha)
Wapo on trend (shusha)
Wapo top ten (shusha shusha)
Wapo on trend (shusha)
Nawashusha (shusha shusha)
Nawashusha (shusha)
Nawashusha (shusha shusha)
Nawashusha (shusha)
Tumewapa nafasi kidogo wameanza kuleta dharau (shusha)
Wameshika visenti kidogo wanakandia mpaka wadau (shusha)
Wamejisahau (shusha)
Wanaleta dharau (shusha)
Napiga kolabo na Simba wewe kapige na nyau (shusha shusha)
Nazidi kushusha mangoma mpaka waseme Baba ni noma
Nabado ntawapa homa mpaka waseme tumeshakoma
Maneno yanavyowachoma mpaka waseme rudi kigoma
Na wameshameza ndoano mpaka wateme- (shusha)
Nawashusha (shusha shusha)
Nawashusha (shusha)
Nawashusha (shusha shusha)
Nawashusha (shusha)
Eh wapo top ten (shusha shusha)
Wapo on trend (shusha)
Wapo top ten (shusha shusha)
Wapo on trend (shusha)
Nawashusha (shusha shusha)
Nawashusha (shusha)
Nawashusha (shusha shusha)
Nawashusha (shusha)
Wanaporomoka (aii) mmoja mmoja chali (shusha shusha)
Wanadondoka mmoja mmoja chali chini
Wanaporomoka (shusha) mmoja mmoja chali
Wanadondoka (shusha shusha) mmoja mmoja chali chini
Chapa a chapa (chapa)
Sasa chapa (chapa)
Tia bakora (chapa)
Hawana adabu (chapa)
Chapa a chapa (chapa)
Wanangu chapa (chapa)
Tembeza mboko (chapa)
Hawana adabu (chapa)
Written by: K Town Record Label
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...