Şarkı sözleri

Hatua za mwenye haki Za ongozwa naye Bwana Na Bwana hufurahia Njia zake wakati wote Hatua za mwenye haki Za ongozwa naye Bwana Na Bwana hufurahia Njia zake wakati wote Nakukabidhi Bwana Njia zangu zote Pia nakutumaini Najua Bwana utafanya Hata nijapojikwaa Sitaanguka chini Bwana utanishika mukono Na kunitegemeza Nakukabidhi Bwana Njia zangu zote Pia nakutumaini Najua Bwana utafanya Hata nijapojikwaa Sitaanguka chini Bwana utanishika mukono Na kunitegemeza Eehh hallelujah Wewe Bwana wewe Bwana Bwana nimesangua Wafanya kazi kwa siri ndani yangu Hallelujah hallelujah Umwangazie mtumishi wako Uso wako Maana ninayatamani Maagizo yako Elekeza hatua zangu Kwa neno lako Uovu usije Ukanimiliki Umwangazie mtumishi wako Uso wako Maana ninayatamani Maagizo yako Elekeza hatua zangu Kwa neno lako Uovu usije Ukanimiliki (Ee Bwana naomba) Ongoza hatua zangu Eh Bwana Eh Bwana (eh Bwana) Ongoza mwendo wangu (eh Bwana) Eh Bwana (eh Bwana) Eh Bwana (eh Bwana) Ongoza hatua zangu (niongoze) Eh Bwana Eh Bwana (niongoze) Ongoza mwendo wangu (eh Bwana) Eh Bwana Eh Bwana (eh Bwana naomba) Ongoza hatua zangu (niongoze) Eh Bwana Eh Bwana (niongoze) Ongoza mwendo wangu (niimarishe) Eh Bwana Eh Bwana (eh Bwana) Ongoza hatua zangu (eh Bwana) Eh Bwana Eh Bwana (eh Bwana, eh Bwana) Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana) Eh Bwana Eh Bwana (eh Yesu) Ongoza hatua zangu (eh Yesu) Eh Bwana Eh Bwana (uniimarishe) Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana) Eh Bwana Eh Bwana (eh Bwana!) Ongoza hatua zangu (niongoze) Eh Bwana Eh Bwana (unisaidie) Ongoza mwendo wangu (eh Bwana, eh Bwana) Eh Bwana Eh Bwana (eh Bwana, eh Bwana) Ongoza hatua zangu (eh Bwana, eh Bwana) Eh Bwana Eh Bwana (msaada wangu) Ongoza mwendo wangu (niwe Bwana) Eh Bwana Eh Bwana (niongoze Bwana) Ongoza hatua zangu (eh Bwana) Eh Bwana (eh Bwana) Eh Bwana (we Yesu) Ongoza mwendo wangu (we Yesu, we Yesu) Eh Bwana Eh Bwana Ongoza hatua zangu Eh Bwana Eh Bwana Ongoza mwendo wangu Eh Bwana Eh Bwana
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out