Şarkı sözleri

Nyau This one is a black line Yaw yaw Zakochali, yebooo Konde boy, call me number one So much money in the bank, man All dem girls dey call me honey Only your love can turn me to a mad man Leo nakuto... totoo, nakutoa kwenu uje kwangu Nina hamu yakuto... totoo, kutoa mahali uwe wangu (nyau) Basi sema unakuja saa ngapi ama kwenu umeshakatazwa Said kichwa nitamueka wapi na mkongo nimeshampakaza Iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza Wahuni sandakalawe (amina) Ah mwenye kupata (apate) Je mwenye kukosa (akose) Eh kuku gani? (Mweupee) Ah sandakalawe (amina) Na mwenye kupata (apate) Je mwenye kukosa (akose) Ah kuku gani? Leo nataka kukuto-, to- kutoa out Mimi na hamu ya kuto-, to- kutoka na wewe Jiandae leo na kuto-, to- kutoa out Mimi na hamu ya kuto-, to- kutoka na wewe, yebooo Ya, my beautiful baby from juba I wanna take you to dubai Yes I'm ready to do that, do that Hasa twende popolipo lipopoo Popolipo lipopoo Popolipo lipopoo Popolipo lipopoo Iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza Wahuni sandakalawe (amina) Ah mwenye kupata (apate) Je mwenye kukosa (akose) Eh kuku gani? (Mweupee) Ah sandakalawe (amina) Na mwenye kupata (apate) Je mwenye kukosa (akose) Ah kuku gani? Leo nataka kukuto-, to- kutoa out Mimi na hamu ya kuto-, to- kutoka na wewe Jiandae leo na kuto-, to- kutoa out Mimi na hamu ya kuto-, to- kutoka na wewe, yebooo (TheMix) (Killer) Leo nataka kukuto-, to- kutoa out Mimi na hamu ya kuto-, to- kutoka na wewe Jiandae leo na kuto-, to- kutoa out Mimi na hamu ya kuto-, to- kutoka na wewe, yebooo
Writer(s): Tarico Caifaz Samuel Simbine, Rajabu Abdulkahali Ibraham Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out