album cover
Jeraha
294.154
African
Jeraha adlı parça albümünün bir parçası olarak Ziiki Media tarafından 18 Haziran 2021 tarihinde yayınlandıJeraha - Single
album cover
En Popüler
Geçtiğimiz 7 Gün
00:15 - 00:20
Jeraha geçen hafta yaklaşık 15 saniye civarında en sık keşfedilen şarkı oldu
00:00
00:05
00:15
00:20
00:25
00:45
00:50
01:00
01:20
01:25
01:35
01:40
01:50
02:00
02:05
02:15
02:20
02:40
02:45
02:55
00:00
03:02

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Krediler

Şarkı sözleri

[Verse 1]
Kunguru ata kalishwa, nyumbani ato kaa
Katili huna nafsi, huna huruma
Ata kwa ushahidi, macho nilifumba
Sikutaka kuamini, niliogapa itaniuma
[Verse 2]
Kwamba msaliti wewe
Kwa tamaa za mda mfupi
Penzi bahari umelitosa
Kawekeza mda mwingi
Kumbe bure najichosha
Iweje wewe, toliojenga kwa juhudi, umebomoa
Zile ndoto na mipango, ya kufunga ndoa
[Chorus]
(Jeraha) Subirli lipone, bado naliunguza
(Jeraha) Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
(Jeraha) Subirli lipone, bado naliunguza
(Jeraha) Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
[Verse 3]
Niaje (Niaje uooh)
Get off me man (Niaje, niaje)
Wajua wakati mwengine najiuliza
Au pengine haya mapenzi yana wenyewe (Usincheze-cheze)
Ama pengine mimi ndio sina bahati (Moyo wangu mwepesi)
Au pengine tu wangu ndio hajazaliwa
Mana kila minapojitweka imani
Kila ninapoanza safari ya mapenzi
Meli inapongoa nanga tu inageuka feri mtongwe
Damn, heh, siaminii
After all we've been through
How you sacrifice so much for so little?
[Verse 4]
Kwamba msaliti wewe
Kwa tamaa za mda mfupi, penzi bahari umelitosa
Kawekeza mda mwingi, kumbe bure najichosha
Iweje wewe, toliojenga kwa juhudi, umebomoa
Zile ndoto na mipango, ya kufunga ndoa
[Chorus]
(Jeraha) Subirli lipone, bado naliunguza
(Jeraha) Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
(Jeraha) Subirli lipone, bado naliunguza
(Jeraha) Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Written by: Jacob Obunga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...