album cover

Freestyle Session 2

27.993Hip-Hop/Rap2022
album cover
Freestyle Session 2 adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Rockstar Africa tarafından 27 Mayıs 2022 tarihinde yayınlandıFreestyle Session 2 - Single
Yayın Tarihi27 Mayıs 2022
FirmaRockstar Africa
BPM86
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

[Verse 1]
Na ningekuwa nataka uyoung King
Ningeshamwambia father Country anipatie
Maana mi hufanya sio mnavyotaka nyie
Na niliongea na simba nikamwambia awakanyagie (Kanyaga)
Bisha uone utandala wakufanyizie
Mistari nateleza ganda la ndizi
Nafanya watoto kiko watabasamu Babylon biz
Sina views kama Priz au Dris
Ila I was born to shine
Kama mwanangu bi twanga la twist
Tena waambie wana wa mtaani kwako mi sipaki powder
Nikiwa ghetto ni mitungi huwa sitaki soda
Izo itikadi zako za kishua zibaki goba
Nimeshafanya uvuke border
Now get off, my fuckin shoulder
For now I'm the best young rapper ata ka hutaki
Young killer pia ni rapper fulani noma kiroho safi
Nashukuru Mungu mambo yamekuwa safi, msafi
Nawaka utasema cheni za Konde Boy mjeshi
Ng'ata ung'atwe lianzishe ufwatwe
Wenzako hatulembi tunasaka mkate
Baka ubakwe umeme ukatwe
Ushikwe upakatwe uliwe na mate
[Verse 2]
Itikadi za ajabu kama hizo sina
Maneno mengi ya nini kama unaniweza pima
Mtu mmoja ila utasema kikosi cha pina
Bora univunjie mguu kuliko kunivunjia heshima
Ndo maana napita kitaoni, like I'm boss yeah
Like I'm boss na hunisomi, sieleweki yeah
Nakaa mkosi nakimbiza huoni
Namuuliza Moni, vipi umejenga sokoni
Napepesa mboni, nafanya wadudu wa njaa wanapita tumboni
Nikiwa high wanapita like I'm fuckin off
Maringo mengi yaani like my name is Cassanova
Ring ring sina manukato if we ni mjomba thanks for showing
Now we getting girls like Beyonce over
Kwanza natoka shkopa, sikopi makopa kopa
[Verse 3]
Mask off show my face hakuna nachoogopa
Sina za kuropoka, nikikaa na magenge namoka
Yoh goma endeleeni kufoka
Nikitoka mtoka na moka
Monday to Sunday in my way no fun day
Rule number one is no popo afande
Mziki wa on G ni threesome, ndio mandate
We leta ucho kwako ukutane na kipande
Ka si mdaro nawachoma roho, yeah what you know
Kimichano nimekwenda H, yeah I'm getting old
Mashindano huwa nashinda mi, huwanga sitoi draw
Keep one hundred, other **** they just keep it oooh shit
Kumbe unaniiga kuchana, ooh shit
Pesa unapewa na mama, oooh shit
Mtoto wa kiume pambana, sio unaongopea wasichana
Shout out to Khali, respect the OG
We out here
Rooftop PNT baby
Written by: Rashid Shabani, Young Lunya

Shazam Alt Bilgi

Dil seç:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Bizi Takip Edin

Loading...