Şarkı sözleri

Sijawahi ona zaidi yako Shammah Sijawahi kuona kama wewe Baba Sijawahi kuona sifa za lako jina Simba kabila la Yuda, ooh mwamba Unayefanya maajabu yaliyoshindikana Kwa jina lako eeh Unayetenda yasiyowezekana Ayee, yee yee Wewe unaye ponya viwete wakatembea Wewe unayeponya vipofu wakaona Tena unayeponya viziwi wakasikia Na mimi masikini wanipa habari njema Yaani mambo, moto moto Oooh moto, kila kona ni moto moto Fire, eeh moto Yaani mambo, moto moto Yaani kwako moto, moto Yesu moto moto(Moto moto) Mambo, eeeh moto Kila ninapopiga goti, unanijibu Baba Ninapomwaga machozi, unanifuta Baba Hata wakati wa shida, taabu na yale mabaya Hujawahi kuniacha Baba, daima wewe upo upande wangu Nitalishika neno lako lisiniponyoke Nitaziimba sifa zako daima milele Daima milele, lele lelele Unayefanya maajabu yaliyoshindikana Kwa jina lako eeh Unayetenda yasiyowezekana Ayee, yee yee Wewe unaye ponya viwete wakatembea Wewe unayeponya vipofu wakaona Tena unayeponya viziwi wakasikia Na mimi masikini wanipa habari njema Yaani mambo, moto moto Oooh moto, kila kona ni moto moto Fire, eeh moto Yaani mambo, moto moto Yaani kwako moto, moto Yesu moto moto(Moto moto) Mambo, eeeh moto Yesu(Moto moto) Kila kitu kwake moto(Moto) Amewasha,(Moto moto) Eeeh(Moto) Roho mtakatifu(Moto moto) Ametawala(Moto) Yaani mambo ni(Moto moto) Mapepo yanadanganya (Eeeh moto) Ah leo Baba uinuliwe(Uinuliwee) Yesu uinuliwe(Uinuliwee) Uinuliwe(Uinuliwee) Wewe(Uinuliwee) Baba wa huruma(Uinuliwee) We ni mwingi wa rehema(Uinuliwee) We ni mwingi wa neema(Uinuliwee) Baba eeh(Uinuliwee) Uinuliwe(Uinuliwee) Moto moto(Uinuliwee) Moto moto, moto Moto moto, eeeh moto Moto moto, moto Moto moto, eeeh moto
Writer(s): Walter Godfrey Chilambo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out