Krediler
PERFORMING ARTISTS
Alice Kimanzi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Alice Kimanzi
Songwriter
Gideon Maingi Kimanzi
Songwriter
Şarkı sözleri
Hali hii yangu isiwe nafasi ya kuto msifu Mungu
Mahali nilofika pasi ninungunishe moyo, daima nimshukuru
Nafsi yangu 'sisahau yale yote ametenda
Kwa upendo wake mwema kanizingira kwa neema
Moyo wangu vuta heri kwa subira
(Atajibu) dua langu (Ooh kwa njia yake) na wakati wake
(Atajibu) dua langu (Ooh kwa njia yake) na wakati wake
Moyo tulia
Najua njia hii si rahisi, natambua mlima huu umezidi
Uwezo wangu, egemeo ni Yesu tu
Na hata giza likija na mashaka pia
Yazibe macho yangu, bado nitazidi, kwani 'ye aliahidi
Nasadiki neno lake kweli
(Atajibu) dua langu (Ooh kwa njia yake) na wakati wake
(Atajibu) dua langu (Ooh kwa njia yake) na wakati wake
Moyo tulia
Kwani yeye anakuona, tena yeye anakujali (Moyo tulia)
Anahisi uchungu wako, tulia, tuliaa
(Atajibu) dua langu (Ooh kwa njia yake) na wakati wake
(Atajibu) dua langu (Ooh kwa njia yake) na wakati wake
(Atajibu dua, dua, duaa) dua langu (Ooh kwa njia yake) na wakati wake
(Oh moyo wangu atajibu dua, dua, duaa) dua langu (Kwa njia yake) na wakati wake
Moyo, moyo, moyo, moyo
Written by: Alice Kimanzi, Gideon Maingi Kimanzi