album cover
Teamo
album cover
Teamo adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Sixxtune Africa tarafından 7 Eylül 2022 tarihinde yayınlandıTeamo - Single
Released7 Eylül 2022
FirmaSixxtune Africa
BPM82
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Şarkı sözleri

[Verse 1]
Fikra za shetani huzania kwamba mimi ni wake
Hajajua namilikiwa na muumba
Hujaribu weka mitimiti na misumali na miiba ichomayo ooh
Asante Mungu upande wangu daima
[Verse 2]
Tena Bwana ana jina langu mikononi mwake
Alafu hujinadii nalo na malaika huko mbiguni
Kwa madaha anajigamba enzini, eebu
Just come mwoneni
[Chorus]
Huyu ndo mwanangu na imani naye
(Kanambia) Teamo mwanaa aah
Nakupenda mwanaguuu (Nakupenda mwanaguu)
Ooh nakupenda mwananguu
Teamo mwanaa aah
(Nakupenda Bwana) Nakupenda Bwanagu
Aah (Ooh nakupenda Bwana)
[Verse 3]
Ni kweli jana nimekosa, amenisamehe
Sina haja jilaumu kwa makosa ya jana
Ni kweli jana nimekosa, amenisamehe
Sina haja jilaumu kwa makosa ya jana
[Verse 4]
Tena Bwana ana jina langu mikononi mwake
Alafu hujinadii nalo malaika huko mbiguni
Kwa madaha anajigamba enzini
Hebu just come mwoneni
[Chorus]
Huyu ndo mwanangu na imani naye
(Kanaimbia) Teamo mwanaa aah
Nakupenda mwanaguuu (Nakupenda mwanaguu)
Ooh nakupenda mwananguu
(Teamo) Teamo mwanaa aah
(Nakupenda Bwana) Nakupenda Bwanagu
(Aah) Ooh nakupenda Bwana
Written by: Godfrey Steven
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...