Müzik Videosu

Minyama
{artistName} adlı sanatçının {trackName} müzik videosunu izle

Krediler

PERFORMING ARTISTS
Imuh
Imuh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Mwambogoso
Ibrahim Mwambogoso
Songwriter

Şarkı sözleri

Na yeye ndo kanidaka Juju juju Na Penzi lake kama dege la kijeshi Ye ndo katibua nidhamu Ananisachi mbaka ndani kwenye fensi,Ayee Amenivuruga amenibambanya jamani si utani(si utani) Na kama Padri na msalaba Shekhe na msikiti Ndo yeye na mimi Na baby basi stop weka nukta Ukizidisha mwenzio nitachizika Hili penzi ama sadaka Unanipa mbaka nashindwa pa kuweka Na mara popo kanya mbingu Miguu juju kama tunacheza judo Dozi mchana usiku sipati nafuu Kama naumwa kifaduro Baby punguza raha mi nakuwa kibonge na nenepa Kwanii hakuna dagaa mbona kila siku wanipa mafuta Mwenzako nimekuwa chibonge Nimetoka minyama Ona nna mashavu kama napuliza mo. motoo Nimetoka minyama Na penzi umejaza sawa ooh Nimetoka minyama Mwenzenu nimetoka minyama Nimetoka minyama Mwenyenu na nenepa kwa raha Nilipata majangiri nikadhani mapenzi sio raha Nilijiona bahiri kumbe sijawahi pendwa Aye, Sasa napendwa na pesa natoa Roho mkunjufu nafsi nimeridhia Akinitega tyu pochi nampatia Ninavyopenda ngono sijui nitatoboa Penzi lake nakopea mkopo bank Nakopeshwa nasidaiwi Kutwa nazama mgodi wa chumvi Sipati safura wala kisukari Na mara popo kanya mbingu Miguu juju kama tunacheza judo Dozi mchana usiku sipati nafuu Kama naumwa kifaduro Baby punguza raha mi nakuwa kibonge na nenepa Kwanii hakuna dagaa mbona kila siku wanipa mafuta Mwenzako nimekuwa chibonge Nimetoka minyama Jamani mbona anaupiga mwiingi Nimetoka minyama Ananipa full charge wala haringi Nimetoka minyama Ona nna mashavu kama napuliza mo. motoo Nimetoka minyama (Mara nasema ongeza nasema punguza hadi sielewi) (Ma nadai nimechoka na tunataka tena yaani sijui)
Writer(s): Warren Frank Kawiche Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out