Şarkı sözleri

S2kizzy baby Uchovu wa siku nzima Nafsi inataka niipongeze Tumwagilie mtima Wauni wangu mjisogeze Shogoroza, unga unga mwanangu upendeze Ukitongoza, funga munda mtoto kamkoleze Aaaahh shetani amepita Leo ndani mitungi hadi jogoo anawika Aaahh Dj acha sifa Izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika Ooh salome salome Nimempenda uyo shoya yako salome Ooh salome salome Niweke niwe shem wako salome Aaaahh shetani amepita Leo ndani mitungi hadi jogoo anawika Aaahh Dj acha sifa Izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika Yala yala, yala Yala yala yala (yalaah) Yala yale, yala Yala yala yale (yalaaah) Yala yala, yala Yala yala yala (yalaah) Yala yale, yala Yala yala yale (yalaaah) Ah Monday to Sunday Ah ziyakhala manje I needa trip Zanzibar, needa rock kendwa rocks Needa baddie on a yacht ashante Coz I don't want no stress (yea yea yea) Girl you rocking with the best (yea yea yea) The titch gang never rest (yea yea yea) This summer we the best (yea yea yea) Monate mnate Rona re batla monate mnate (monate mnate) Monate mnate Rona re batla monate mnate (monate mnate) So let's go party Mtoto wangu let's go party (let's go party) So let's go party Kama hakuna wasiwasi (hakuna wasiwasi) Aaahh shetani amepita Leo ndani mitungi hadi jogoo anawika Aaahh Dj acha sifa Izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika Kamix Lizer
Writer(s): Sheila Shorongo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out