Müzik Videosu
Müzik Videosu
Krediler
PERFORMING ARTISTS
G Nako
Performer
COMPOSITION & LYRICS
George Mdemu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Traxx
Producer
Şarkı sözleri
[Verse 1]
Mwanangu sina dakika mwanangu
Ukikata sijui ntaongea vipi
Nina upwiruu
[Intro]
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Leo kheee
[Chorus]
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome,ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome, tucome
[Chorus]
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome (Toto), tucome (Toto)
[Verse 2]
Kishikwambi leo nipo kambi
Nikadhambi au si kadhambi
Nipo gym sikati kitambi
Ni kapesa weka kachambi chambi
[Verse 3]
Kata simu watu tupo site
Ukibanwa ma mi nipo tight
Naliwasha ni set mood right
Micharazo humu ndani ti chi
[Verse 4]
Nikamtukano yaani kameet-ing
Si tukutane tupige meeti-ng
[Verse 5]
Kamsimamo hakilaliki
Ni makelele ni halaiki
[Chorus]
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi come
Utacome ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome, tucome
[Chorus]
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome, tucome
[Verse 6]
Ndo hiyo ndo hiyo
Utacome au kuna jam
Utacome au huna hamu
Ni patamu au si utamu
Ni kwa nje au kwa ndani
Nipo nje basi uje ndani
Kuperform maana niperform
Bibititi Darisalaam, popopipi palipapu
[Verse 7]
Usije nichomesha mahindi yeh
Kajafanya nikamaindi yeh
Tumalocation faindi yeh
Nikutumikishe kihindi yeh
Kuchi kuchi hotae
Kwichi kwichi wallaah
Ndichi ndichi
Nikupitishe kwenye miti mamaee
Unalipa ila mi silipi
[Verse 8]
Unashika,ila mi si shiki
[Verse 9]
Naivuta haivutiki
[Verse 10]
Chupi fupi ila haivuki kivipi
[Chorus]
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome, tucome
[Chorus]
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome
Ni kwa zamu au nipo zamu?
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome (Toto), tucome (Toto), tucome (Toto)
Tucome (Toto), tucome (Toto)
Written by: George Mdemu