Şarkı sözleri

Mhhh!! Habari gani kaka naamini unanisikia Mimi mzima wa Afya Mama Mungu anasaidia Toka ulipotuacha Mahututi Anazidiwa Bibi Presha Presha nae akatangulia Bado twakuombea ulale salama Pema Japo Moyoni nina dukuduku Natamani kusemaaaa(Nisemeeeeee) Zile mali husia ulizotuhusia tuligawa Salama Zuena Kaka amebadilika Sanaa Yaan shemlake Bi Zuuh wa leo sio yule wa jana Natamani Ungemuona (Zuwena) Japo ungemuona (Zuwena) Kidogo tu ungemuona (Zuwena) Ungemuona (Zuwena) Ooohh ungemuona (zuwena) Aahh Zuwena (Zuwena) Oohh ungemuona Zuwena (Zuwena) Mhhh! Zuwena sasa kawa chotara Sio tena Cheusi Mangala Ngozi kaichubua awe muzungu anavuta na sigara Mara Boko mwananyamala Anachezesha tu miamala Kutwa anaisugua kipepe rungu Tena peku bila ndala Aaah zuwena siku hizi anabandika kope(Zuwena) Zuwena mipasuo kama yote(Zuwena) Ooh zuwena lipa shika tuondoke(zuwena) Aah Zuwena wanamuita cha wote Oooh oooh Juzi kabebwa na majirani hata hajitambui (zuwena) Yaan kalewa tafarani kautwika mbwiiii (Zuwena!!!) Zuwena sio tena wa ibada na dini Sadaka chenji asaidie Siku hizi kageuka pedeshee wa mjini Kutunza bendi wamsifie Na lile gari lako urithi wa babu la kulishia Ng'ombe Siku hiz kama kwato kwenye vilabu linabebea pombe Mama dede kitandani hawez hata kutembea Zuwena ameshindwa hata kuja kumuona panadol kumletea Natamani Ungemuona (Zuwena) Japo ungemuona (Zuwena) Kidogo tu ungemuona (Zuwena) Ungemuona (zuwena) Ooohh Ungemuona (Zuwena) Aahh Zuwena (Zuwena) Oohh ungemuona Zuwena (Zuwena Nic Nicoo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out