Krediler
PERFORMING ARTISTS
chatta
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Issa ally shigela
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Scar Dee
Producer
Şarkı sözleri
she looks like undereighteen
stay away iko full magazine
hakuna habari zaid ye ndio habari ya mjini
oh my Gad she looks like undereighteen
No make up , no filter ila mtoto anawaka
namficha , namficha tena hapa kwa kwapa
no shisha tabia sister ila wakwenu mapaka
she called me mr , she called me issa hataki tabia za chatta
kama diamond za shy town anavyo shine
( yes she is too fine)
kumuacha sija plan leo wala kesho ( Wala kesho )
anae nifanya nikeshe macho nikiwa ndani ( Nikiwa ndani )
Ananipa raha yani vituflani burudani
she looks like undereighteen
stay away iko full magazine
hakuna habarii zaid
ye ndio habari ya mjini
oh my Gad she looks like undereighteen
put your hands up if you believe in love
no stress ( no stress ) if u believe i love
put your hands up if you believe in love
no stress ( no stress ) if u believe i love
she looks like undereighteen
stay away iko full magazine
hakuna habarii zaid
ye ndio habari ya mjini
oh my Gad she looks like undereighteen
she looks like undereighteen
stay away iko full magazine
hakuna habarii zaid
ye ndio habari ya mjini
oh my Gad she looks like undereighteen
Written by: Issa ally shigela

