Şarkı sözleri

Once again (Jimmie X double six) Maskini mimi Mwenzako mimi naumia sana Japo nishajua mimi kua sawa na wewe haitawezekana Hata nikishuka chini ndio unaniona mi' mjinga sana Eti umepatwa nini mbona apo mwanzo ulitulia, aah? Na wala sio mbali, sio mbali Tulikua karibu na malengo Na leo kiutani kama utani Umeshindwa kuumaliza mwendo Na tena haujali, haujali Ukiondoka utaacha pengo Hakuna cha habari nikae mbali Huku kuachwa bila maelezo Mbali nawe, mbali nawe Mbali nawe, mbali nawe Mbali nawe, mbali nawe Mbali nawe, mbali nawe Hu-uh-uh-uh-uh Oh-ah-ah-ah Au kua na mie hautamani Ah, basi niambie kosa gani Basi niambie jinsi gani Utakua sawa baby, mmh Nikueleze jinsi gani? Vile nimekuweka moyoni Ata unipime kwa mizani Nitajaa kwako honey Mi' naumwa, siko sawa Lako penzi ndo yangu dawa Mi' naumwa, ah siko sawa Lako penzi, ah ndo yangu dawa Na wala sio mbali, sio mbali Tulikua karibu na malengo Na leo kiutani, kama utani Umeshindwa kuumaliza mwendo Na tena haujali, haujali Ukiondoka utaacha pengo Hakuna cha habari nikae mbali Huku kuachwa bila maelezo Mbali nawe, mbali nawe Mbali nawe, mbali nawe Mbali nawe, mbali nawe Mbali nawe, mbali nawe Comic Slyzer Music
Writer(s): Sharif Saidi Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out