Şarkı sözleri

Huh, nipo kwenye zone, I swear I feel this moment Luffa kwenye beat yeah, you know he's a coldest Gotta grind all day yeah, we keep recording Hakuna kupumzika mpaka siku we touring Life's not boring, ukituona hatuna worry Stoner lifestyle si unajua we've been smoking And we've been grind all day, yeah that's important Fly motherfuckers kama vitu, we imported We will never hold back, maybe you should know that Tumeanza kama utani bila hata nguvu ya soda Bag full of money kitu ambacho tunachokiona Usione tu tunakesha, tunapiga tu mangoma Me and my nigga Luffa kwenye hu mziki we go way way back Talking down on a side, no we don't play that Keep it real ndio maana unaona watu wanauwa every track Thats a fact, na pia wanatujua we don't kiss ass Infact we made a classic, ila watu they sleep on that Waliona kama tutabuma ila bado we kill these raps Siohofii hata wakibana mwanangu we goin' back to back No cap everytime niki-spit ujue ni rap That's why we do magic kila tukipiga track, huh Wanajua ngekewa ila si' tunawaacha wanahamaki, yeah Me and Forelo utasema tumetoka space Na hii ni ka' kupiga dunk on yo face, tunawapa stress Kwanza music tunajua so hauwezi kutusumbua Si' hatufanyi kiki wenyewe mnajua tumeuchubua, yeah Nyimbo zinaitika zenyewe tunawasumbua Tukiwa Studio na mwanangu tunakichafua (tunakichafua) Huh, nipo kwenye zone, I swear I feel this moment Luffa kwenye beat yeah, you know he's a coldest (coldest) Gotta grind all day yeah, we keep recording (-cording) Hakuna kupumzika mpaka siku we touring Life's not boring, ukituona hatuna worry Stoner lifestyle si unajua we've been smoking And we've been grind all day, yeah that's important Fly motherfuckers kama vitu, we imported Huh, never been promoted, always been devoted Kuzingatia kabisa our minds ziko open Kitu tunaambizana kilasiku tusichoke Tuamini ipo siku kila kitu itakuwa okay Piga tu mapini ghetto stock iko loaded Utaona si' machizi daily si' we put in work in Kula ganja kali mpaka unaanza hadi kuchoking Wanajua si' ni wakali sasa kwa nini wasituroge Praise to the Allah, we don't have to worry 'bout nada Isingekuwa juhudi na dua ingekuwa msala Shauri ni moja niliopewa, tujue kukaza Na hii chemistry ni kubwa, me and my brother Ndio maana tunawashangaza usiku wanapolala wanatuwaza Hawawezi kushindana kwa muziki tutawachakaza Tag ninalo ila hata halikunilemaza Naweza post link kwa bio bila hata ya kutangaza 'Cause we on it watu wana comment Luffa kwenye beat yeah, you know he's a coldest Gotta grind all day yeah, we keep recording Hakuna kupumzika mpaka siku we touring Life's not boring, ukituona hatuna worry Stoner lifestyle si unajua we've been smoking And we've been grind all day, yeah that's important Fly motherfuckers kama vitu, we imported
Writer(s): Rashid Salim Goda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out