Müzik Videosu

Müzik Videosu

Krediler

COMPOSITION & LYRICS
Mitchelle Wambui
Mitchelle Wambui
Songwriter

Şarkı sözleri

[PreChorus]
Anashika tumbler, anaweka vodo
Anapiga tu flush ye hajali chaser
Anashika tumbler, anaweka vodo
Anapenda kuzitoka zake zikimshow
[PreChorus]
Anashika tumbler, anaweka vodo
Anapiga tu flush ye hajali chaser
Anashika tumbler, anaweka vodo
Anapenda kuzitoka zake zikimshow
[Chorus]
Anashika glassi, weka barafu
Luku anapiga ndula ndio huwa chafu, ah
Dem ni peng kitu poa alafu
Bunda kilo kumi jegi top amendasus, ah
[Verse 1]
Uki-approach proceed na caution
Toxic hii ni poison ina flavour ya passion, ah
Kitu tamu mix ya genge na dancehall
Kama ka-fry na kachumbari tu hapo kando
[Chorus]
Ni mauru, hakosi condiko kwa purse
Ni mauru, lakini kila Sunday si ako church
Ni mauru, si ni commando ndani ya skirt
Ni mauru, huyu dem ni mauru, huyu dem
[Chorus]
Anashika tumbler, anaweka vodo
Anapiga tu flush ye hajali chaser
Anashika tumbler, anaweka vodo
Anapenda kuzitoka zake zikimshow
[Chorus]
Anashika tumbler, anaweka vodo
Anapiga tu flush ye hajali chaser
Anashika tumbler, anaweka vodo
Anapenda kuzitoka zake zikimshow
[Bridge]
Ooh no, hazijashika we shidako
Ooh no, ulikuliwa manzi yako
Ooh no, bro si ujipanguze jasho
Ooh no, we ni kibanda kwa hii soko
[Verse 2]
Ukiniacha mi nasuka budako
Kila Sunday uko swimo ukule sause na popcorn
Uh, na sio stiff ngoja kiasi nigodo
Mtoto nasty celeb toka Buru hadi Bondo
[Verse 3]
Anna ana sifa za kiajabu
Anadunga mini July na hana sababu
Ah, hajali miaka bora fom ni ya adabu
Nashuku aligeuzia morio wangu Adamu
[Chorus]
Ni mauru, hakosi condiko kwa purse
Ni mauru, lakini kila Sunday si ako church
Ni mauru, si ni commando ndani ya skirt
Ni mauru, huyu dem ni mauru, huyu dem
[Chorus]
Anashika tumbler, anaweka vodo
Anapiga tu flush ye hajali chaser
Anashika tumbler, anaweka vodo
Anapenda kuzitoka zake zikimshow
[Outro]
Anashika tumbler, anaweka vodo
Anapiga tu flush ye hajali chaser
Anashika tumbler, anaweka vodo
Anapenda kuzitoka zake zikimshow ana
Written by: Mitchelle Wambui
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...