Şarkı sözleri

Bwana unaweza kufanya yaliyo makuu zaidi ya yale Bwana unaweza kutenda yaliyo makuu zaidi ya yale Yaliyopita tunayajua, tumeyaona ukiyatenda Yapo ambayo hatuyajui, utayatenda leo utayafanya Utayatenda, utayafanya Utayatenda leo utayafanya
Writer(s): Paul Clement Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out