album cover
Sitosema
42.964
Afro-Pop
Sitosema adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Konde Music Worldwide tarafından 1 Temmuz 2022 tarihinde yayınlandıThe King of New School
album cover
En Popüler
Geçtiğimiz 7 Gün
02:15 - 02:20
Sitosema geçen hafta yaklaşık 2 dakika and 15 saniye civarında en sık keşfedilen şarkı oldu
00:00
00:10
00:40
00:55
01:00
01:15
01:30
01:35
02:15
02:25
02:30
02:35
03:00
03:05
03:30
00:00
03:52

Şarkı sözleri

[Verse 1]
Kalunde takatuka tweni mwanda weeh
Aaah mwanda wee
Sekunde maana muda ndo umesonga wee
Aaah songa weeeh
Sema wanne japo umeniona mushamba weee
Aaah mshamba wee
Muda sekunde Mungu Baba ndo amepanga weee
Aaah panga weeh
Huna huruma weeeh tena ulinicheat na vizeee
Aaah vikongwe ulikuwa busy
Aaah mama wewe na moyo weeeh mmmh
Nilivyokufuma weee ilinibidi tu kwa upole nikuulize
Niliogopa kukupiga nsikuumize
Aaah mama wee kwa upole weeh
[PreChorus]
Wala sikuringiaga ustar kukubeza eti mimi kukunyanyasa
Nilikutunza wala sikuwa tasa maana mimba yangu uliitoa
Masikini moyo wangu ushautakasa
Sina kinyongo nawe hata sasa
Maana nimefungua mpya kurasa
Ila sikufichi moyo umeutoboa
[Chorus]
Yako ya ndani sitosema mi sitosema
Ata yale ya ndani sitosema mi sitosema
Ata siri za kitandani sitosema mi sitosema
Ata yale mabaya sitosema mi sitosema
Sitosema na sisemi tena
[Verse 2]
Acha tu nikuite wa ndoto mama weee
Umeniacha na msoto ujue
Mida ya kula nakumbukaga vile nilivyokulisha ukanilisha
Na michezo ya chumbani mi deko mama weee
Ile michezo ya kitoto ujue bado mimi inanisumbuaga
Kichwani mwangu haitokagi kabisa
Siwezi kung'ang'ania kimwana
Wakati moyo wako haunihitaji tena
Acha mi nijinyime ninywe nizime huenda kesho sitokumbuka tena
Mapema sikudhania kimwana
Kama bazoka utanimeza utantema
Acha nizingatie heshima nikupatie
Nenda salama sitokusumbua tena
[PreChorus]
Wala sikuringiaga ustar kukubeza eti mimi kukunyanyasa
Nilikutunza wala sikuwa tasa maana mimba yangu uliitoa
Masikini moyo wangu ushautakasa
Sina kinyongo nawe hata sasa
Maana nimefungua mpya kurasa
Ila sikufichi moyo umeutoboa
[Chorus]
Yako ya ndani sitosema mi sitosema
Ata yale ya ndani sitosema mi sitosema
Ata siri za kitandani sitosema mi sitosema
Ata yale mabaya sitosema mi sitosema
Sitosema na sisemi tena
[Outro]
Huna huruma weeeh tena ulinicheat na vizeee
Aaah vikongwe ulikuwa busy
Aaah mama wewe na moyo weeeh mmmh
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...