album cover

Mbo

647Hip-Hop/Rap2024
album cover
Mbo adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Mtafya tarafından 8 Mart 2024 tarihinde yayınlandıMbo - Single
Yayın Tarihi8 Mart 2024
FirmaMtafya
BPM184
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

Good morning puppies hamjambo fish bite kwa kiswahili ni chambo umiza kichwa usikae kama pambo na ukijua usifanye majigambo
Unaweza ukawa na bichwa kubwa ila mtambo tuache utani hii sio mambo na vijambo
Hivi nani anaetaka twende ng\'ambo tukamsalimie anod na Rambo
Dalili za ujauzito ni kuvimba tumbo mwelevu ataelewa mjinga mpe fumbo
Haya tuamie kwenye hesabu za maumbo jamani ambalulu anabonge la umbo
Chombo Cha habari nacho chombo ukimaliza kulia osha vyombo
Dar Kuna makongo na matombo
Rafiki ya pombe ni kimombo
Mwagona wasafwa nyakyusa twa MBO MBO marila nyinza wuro kwa shirombo
Ila to day speech in athembo lione better than tembo
Wy ?warembo wanampenda omary nyembo nimegundua pesa sabuni ya warembo
 
Chorusy
MBA mbe mbi ?????
MBA mbe mbi ?????
Every barsay MBA mbe mbi ????
MBA mbe mbi ????
Vers 2
Wanruka na kukanyagana migambo hilo ngoma la juma nature kitambo
Mkubwa akilia jua Kuna jambo
Ukijiamini you goner b hamble
Udharamuni hakuna ngumi ni mi chambo hupati toto kama huna tambo
Mama ni mama hata kama ni wa kambo shkamo yanini me nataka mambo
Why warembo wanampenda omary nyembo nimegundua pesa sabuni ya warembo
Chorus
Ma mbe mbi????
MBA mbe mbi ????
Written by: Mtafya Mwampamba

Shazam Alt Bilgi

Dil seç:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Bizi Takip Edin

Loading...