album cover
Kosa
16.049
Music
Kosa adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Lody Music tarafından 1 Mayıs 2024 tarihinde yayınlandıKosa - Single
album cover
En Popüler
Geçtiğimiz 7 Gün
00:50 - 00:55
Kosa geçen hafta yaklaşık 50 saniye civarında en sık keşfedilen şarkı oldu
00:00
00:50
00:55
02:55
00:00
04:00

Krediler

PERFORMING ARTISTS
Lody Music
Lody Music
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Lody Music
Lody Music
Songwriter

Şarkı sözleri

Naooona unanawirii... unanenepa... Uzuri umekithiriiiii,
Sijapooona... donda ndugu limeniishikaa,
Penzi Letu lilifeli.
Oooooh!
Me si ndo umenikinai unasema sinogi tenaa,
We huko unafurahi Kilichoniponza wema,
Nadhoofika Sing\'ai Ndo maana hunitaki Teena,
Usitajee Tu Mabaya, Na mazuri yangu seema....
ibirisi kaingia ibirisi kaleta dorasi,
Nakesha Bibiliaa Kutwa nimeishika Rosari,
Unanifanya Nalia, Oooh me dhofulhaliii...
Kipi nilokufanyia, Malipo yamekuwa ya shaari....
Kooosaaa!
Kosa Langu Kukupenda Wewe
Kosa Langu Kukupenda wewe
Kosa Langu Kukupenda Wewe
Kosa Langu Kukupenda Wewe
Oooooh Ooooh
Darubini yangu ilishindwa kuona vya Mbali,
Ningejua Nisingekuthamini...
Maumivu yangu zaidi ya Kugongwa Tofari,
Ungejua nilivyokuamini....
Yakhabibi (yakhayati tunda Langu)
Wafaidi (Naumia Peke yangu)
Mashahidi (Hawapo Upande wangu)
Na Anazidi (Kuumiza Moyo Wangu)
Me si ndo umenikinai unasema sinogi tenaa,
We huko unafurahi Kilichoniponza wema,
Nadhoofika Sing\'ai Ndo maana hunitaki Teena,
Usitaje tu Mabaya na Mazuri yangu seema
Kooosaaa!
Kosa Langu Kukupenda Wewe,
Kosa Langu Kukupenda Wewe,
Kosa Langu Kukupenda Wewe,
Kosa Langu Kukupenda Wewe....
Kosa langu mieeeeee
Lody Music on this one
iyeeeeeeeeee
Mieee Kukupenda Kooosaa
Written by: Lody Music
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...