Krediler

PERFORMING ARTISTS
Blandina Mrumbe
Blandina Mrumbe
Performer
Zabron Singers
Zabron Singers
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Blandina Mrumbe
Blandina Mrumbe
Songwriter
Zabron Singers
Zabron Singers
Songwriter

Şarkı sözleri

Huko nje watu wanisemaje
Bwana yesu kawauliza Kwani nanyi pia mwanijuaje
Heeee basi niambieni Wengine nabii wengine masihi,
wengine mwalimu wakujuavyo nje ni tofauti hao watu
wameshakupa majina mpya na namna na mungu akujuaavyo
Nikipewa jina na yesu tu
Jina zuri anipe yesu tu
Hunipenda sio kwa raha tu
Hata kwa shida yupo na mimi tu
Nikipewa jina na yesu tu
Jina zuri anipe yesu tu
Hunipenda sio kwa raha tu
Hata kwa shida yupo na mimi tu
Bora sasa mimi na yesu tupo pamoja
Ona Kwenye mikono yake bwana kaniweka
sina mashaka yesu amenikubali na sasa mimi
ninaitwa mwana wake Ni nayo furaha mimi ni
mbarikiwa sijakosa kitu yesu ananitunza
Asante maana yesu wanifaa na jina lako nitalitukuza
Nikipewa jina na yesu tu
Jina zuri anipe yesu tu
Hunipenda sio kwa raha tu
hata kwa shida yupo na mimi tu
Nikipewa jina na yesu tu
Jina zuri anipe yesu tu
Hunipenda sio kwa raha tu
hata kwa shida yupo na mimi tu
Written by: Blandina Mrumbe, Zabron Singers
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...