album cover
Naloa
1
Afro-Beat
Naloa adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Hophama music tarafından 13 Eylül 2024 tarihinde yayınlandıNaloa - Single
album cover
Çıkış Tarihi13 Eylül 2024
FirmaHophama music
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji
BPM93

Krediler

PERFORMING ARTISTS
PAHTURE
PAHTURE
Performer

Şarkı sözleri

Wago oooh
Mtu makini na pia bad
Naih on the beat
Umenilegezaje beb mbona na vibrate emotion
Kweli umeniwezea kote yeeh yeah ah ah
Unapendeza ukipaka lotion nakuomba msamaha niki kosea kosea nahapa umeni overdose kweli aah
Ana chuchu saa six zatoboa na shati
Nalishwa every thing mafuta chapati
Every time tu anavunja kabati
Mwisho jana sie tumetoka ku party
Party me namuita namuita yeye mamy
You call me dady hm na tujenge family
You my every thing kumuacha sidhani
You my every thing kumuacha sidhani yooh
Mmh! Nalo naloa
Hmm! Naloa (kwa penzi mama)
Nalo naloa (unapendeza)
Naloa hmm! (Kwa penzi mama)
Mmh! Nalo naloa
Hmm! Naloa (kwa penzi mama)
Nalo naloa (umeniweza)
Naloa (kwa penzi mama)
I'll be comando nahisi hii time
Si kwa haya mambo chini ya karpet
Perfect combo nyie mtoto ako sexy
Anapendeza niseme mie kanimeza
Mzima mzima aaah
Kanilegeza aaah yeeah
Namwaga ma doller namwaga ma doller
Namwaga ma doller namwaga ma doller
You go be my wife you go be my wife
You go be my wife you go be my wife Namwaga ma doller namwaga ma doller
Namwaga ma doller namwaga ma doller
You go be my wife you go be my wife
You go be my wife
Hmmmm!
Ana chuchu saa six zatoboa na shati
Nalishwa every thing mafuta chapati
Every time tu anavunja kabati
Mwisho jana sie tumetoka ku party
Party me namuita namuita yeye mamy
You call me dady hm na tujenge family
You my every thing kumuacha sidhani
You my every thing kumuacha sidhani yooh
Mmh! Nalo naloa
Hmm! Naloa (kwa penzi mama)
Nalo naloa (unapendeza)
Naloa hmm! (Kwa penzi mama)
Mmh! Nalo naloa
Hmm! Naloa (kwa penzi mama)
Nalo naloa (umeniweza)
Naloa (kwa penzi mama)
Oooh yeah mapenzi eeh ah
HOPHAMA MUSIC
Samyleshma
Wago oooh
Oooh oh nainah
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...