album cover
Jaba
album cover
Jaba adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak KODONG KLAN tarafından 12 Aralık 2024 tarihinde yayınlandıDisko
AlbümDisko
12 Aralık 2024
FirmaKODONG KLAN
DilEnglish
BPM113
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

[Verse 1]
Alikupigia ati amelala na ni mimi amelalia
Vile anahema si kukimbia ni ile kitu amekalia
Ye hukusengenya ati ukipewa unachapa unasinzia
Mi nikichapa ni usiku nzima majirani hushangilia
Maajabu ya dunia anapenda mabondia
Kila kitu ni bandia but ka ni pesa anadandia
Nakulimia nakuvunia, nakupikia nakukulia
Jaba jaba
Nakulimia nakuvunia, nakupikia nakukulia
Jaba jaba jaba
[Chorus]
Tema hiyo jaba
Jaba
Tema hiyo jaba
Jaba
We tema hiyo jaba
[Verse 2]
Aki niko na emergency send two k urgently
Hadi leo umeniita babe ati we hunilike apparently
I don't do cheap girls cancel me
Na si para honestly
Side chick ni wa Umo 3
Allowance fee si ni gurantee
Naskia kumtumia naskia kumtumia
Nikivumilia siku moja atanigawia
Naskia kumtumia naskia kumtumia
Nikivumilia siku moja atanigawia
[Chorus]
Jaba jaba
Jaba jaba
[Verse 3]
God made man
Man made money money made man mad
Working hard ain't no love bila finance
Anadai za kucha luo man ofcourse ntatuma
Baller JJ Okocha
Grind so hard siezi rudi ocha
Naskia kumtumia naskia kumtumia
Nikijivunia siku moja atanigawia
Naskia kumtumia naskia kumtumia
Nikijivunia siku moja atanigawia
[Chorus]
Jaba
Tema hiyo jaba
Jaba
We tema hiyo jaba
Jaba jaba
Jaba jaba
[Verse 4]
Nilitaka gari akasema basi lipua nitalipia (Jaba)
Ana nyumba tatu Kilimani mom chupi hajawai rudia (Jaba)
Juzi kafumiwa chumbani mchungaji na bibilia (Jaba)
Maombi gani mkiwa kitandani hiyo sijawai sikia (Jaba)
Ai nyako nyako we ulisema ati uko celibate
Not your type hatuwezi date
Mi nashuku unaplay it safe, kila wiki Dubai on a private jet
Someone's definitely making you wet
Don't come nimemasturbate anyway gine dung rech
[Chorus]
Jaba
Tema hiyo jaba
Jaba
Tema hiyo jaba
Jaba jaba
We tema hiyo jaba
Jaba jaba
Jaba jaba
Written by: Benson Mutua, Edgar Onyach, Eugine Simon Ywaya, Julius Okelo McRymboh
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...