album cover
Fundi
album cover
Fundi adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Waka Music Limited tarafından 16 Haziran 2024 tarihinde yayınlandıFundi - Single
16 Haziran 2024
FirmaWaka Music Limited
BPM92
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Şarkı sözleri

[Intro]
Na tena
Nimependwa tena
Na tena
Nimependa tena
[Verse 1]
We tabibu we lazizi we
Unanifanya mi sioni kando kando
Na taratibu we usipande ngazi we
Itakuwa ni hatari kweli kweli
The way you do me you do me
Hadi nasema okay
Michezo ya ngumi ya ngumi
Kwetu hakuna okay
Baby wahuni wahuni wapo kama wote
Mi michezo ya ngumi ya ngumi siitaki okay
[PreChorus]
Mi ni fundi wa mapenzi
Kuliko unavyojua
Nitakupatia mapenzi
Hadi utashindwa kupumua
Na ninavyojua kuenzi majirani watajua
Nitakupatia mapenzi
Hadi utashindwa kupumua wewe
[Chorus]
Na tena
Nimependwa tena
Na tena
Nimependa tena
Na tena
Nimependwa tena
Na tena
Nimependa tena
[Verse 2]
Nifumbe macho nikuone wewe
Ushike moyo na upone wewe
Waambie kwamba daktari wangu ni wewe unanipa tiba
Mi mwenzenu mapenzi niliyavuliaga nguo ndo maana
Nikipata mpenzi namgandanga kama hakuna
[PreChorus]
Mi ni fundi wa mapenzi
Kuliko unavyojua
Nitakupatia mapenzi
Hadi utashindwa kupumua
Na ninavyojua kuenzi majirani watajua
Nitakupatia mapenzi
Hadi utashindwa kupumua wewe
[Chorus]
Na tena
Nimependwa tena
Na tena
Nimependa tena
Na tena
Nimependwa tena
Na tena
Nimependa tena
Written by: SALMIN ISMAIL HOZA
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...