album cover
Sick
18.819
Hip-Hop/Rap
Sick adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Toxic Lyrikali / Mboka Doba Ltd tarafından 29 Aralık 2025 tarihinde yayınlandıROTEEN
album cover
AlbümROTEEN
Çıkış Tarihi29 Aralık 2025
FirmaToxic Lyrikali / Mboka Doba Ltd
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji
BPM97

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

Sick style
Tapika nika' nikona nausea
Mwaka mwaki kwa kila msee atanipea ears
Ukikuja near na sijui nia nakufagilia
Si fear ju dunia hua sphere
Wana sifia doba ya kwangu ikipumua kwa Pioneer (Pioneer)
Siezi wa carry wakidandia career (never)
Drip kama tears za Vybz Kartel
Fisherman nimewashika kwa net
East side ukitusue ongeza sue mbele suicide
Kiburi nishai chimba kaburi big pride
Real life ka' kipindi hii side
Suicide kuthigitha E-Side
Ukitusue ongeza sue mbele suicide
Kiburi nishai chimba kaburi big pride
Real life ka' kipindi hii side
Suicide kuthigitha E Side
Bare ya right
Ukizua na beast kuhusu rights
Ka chengerere ukisumbua ndio naku tight
Combined huku mkia huenda hadi na line
Ju ya ngwai zimeshika ka skinny jeans (skinny jeans)
Hufiki hii ligi kama ufikiri (mistari)
Hawaezani so OB ndio plan B (plan B)
Eliminate kama husaidii side hii husaidii side hii
Songa kando kwanza we ni pickney
Na attract chura yako na si meda ati dick print
Wameingia chupa ju booster alipigwa tingli
Kucheza mei niwai za kusiaga mahindi
Ni cross nikutandaze msalaba flat tandaza
Matendo hakuna mjadala
Kill pang'ang'a ki-pharmacy nimejaza madawa
So nieke na rada ukiona mambang'a nadai ng'a-da
Na kill pressure nika' nikona puncture
Kaza belt ju ya chuma si sag ka diaper
Nilisha wahisia mapema hao ma viper
Kuskuma gunga pia ni ku grind grinder
Ka huezi arch hio mechi na noa
Siezi ku ghost na depo mbona unagoa goa
Ki Saf naeza kuchai na bado nakuokoa
Utakojoa ukijiaribu kuroroa
Ni kipindi ju jicha aliruka na ngito kwa balcon'
Hii si holy ground usivulie njei sandles
Siwaingizi mkebe si kwa box ama carton
Msako ya east yuts wako picked random
Si compete na bado akona machungu na mimi
Ju ni wa pili pili usilete huku mafeelings
Seki seki utasekiwa maupini (maupini)
Nina jeshi nina waumini
Sick style
Tapika nika' nikona nausea
Mwaka mwaki kwa kila msee atanipea ears
Ukikuja near na sijui nia nakufagilia
Si fear ju dunia hua sphere
Wana sifia doba ya kwangu ikipumua kwa Pioneer (Pioneer)
Siezi wa carry wakidandia career (never)
Drip kama tears za Vybz Kartel
Fisher man nimewashika kwa net
East side ukitu sue ongeza sue mbele suicide
Kiburi nishai chimba kaburi big pride
Real life ka kipindi hii side
Suicide kuthigitha E Side
Ukitusue ongeza sue mbele suicide
Kiburi nishai chimba kaburi big pride
Real life ka' kipindi hii side
Suicide kuthigitha E Side
Written by: Toxic Lyrikali
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...