Müzik Videosu
Müzik Videosu
Krediler
PERFORMING ARTISTS
Elie B Munepo
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Akili Munepo Elie
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Aimable pro
Mixing Engineer
Şarkı sözleri
Haijalishi Urefu wa usiku, kutakucha
(No matter the length of the night, it will be daylight
Haijalishi nyakati za ukiwa, ni kwa muda
(No matter the times of desolation, it is temporary
Nachojua wanipenda, unaniwazia mema
(I know You love me, you think well of me
Najivunia kua nawe, Ngome yangu, uwezo wangu
(I am proud to be with you, my fortress, my strength
Ninaomba Kwaimani
(I am asking for faith
Nikijua utafanya
(I know You will do
Nguvu zangu, uwezo wangu
(My strength, my power
Nikatika wewe Bwana
(They are in you, Lord
Muda wako nisahihi,
(Your time is perfect
Ulisemalo unatenda
(What you say you do
Najivunia kua nawe
(I am proud to be with you
Ngome yangu, uwezo wangu
(My fortress, my power
Unayo niwazia ni mema
(What you think to me is good
Wala si mabaya mwenyewe wasema
(It's not bad, You say it
Wewe si mtu ili useme uongo
(You are not a man to lie
Si mwanadamu ili ujute
(You are not a son of man to repent
Ulilo liahidi utatimiza
(What you promise you will fulfill
Hutatulia kama hujatimiza
(You won't settle if you don't fulfill it
Nami naamini nikisubiri
(I believe it while waiting
Hutatulia kama hujatimiza
(You won't settle if you don't fulfill it
Ulilo liahidi utatimiza
(What you promise you will fulfill
Hutatulia kama hujatimiza
(You won't settle if you don't fulfill it
Nami naamini nikisubiri
(I believe it while waiting
Hutatulia kama hujatimiza
(You won't settle if you don't fulfill it
Muda wako nisahihi,
(Your time is perfect
Ulisemalo unatenda
(What you say you do
Najivunia kua nawe
(I am proud to be with you
Ngome yangu, uwezo wangu
(My fortress, my power
Written by: Akili Munepo Elie


