album cover
Umenijaa
88
Afro-Pop
Umenijaa adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Lody Music tarafından 11 Nisan 2025 tarihinde yayınlandıUmenijaa - Single
album cover
Çıkış Tarihi11 Nisan 2025
FirmaLody Music
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji
BPM93

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Krediler

PERFORMING ARTISTS
BlackDobe
BlackDobe
Performer
Lody Music
Lody Music
12-String Acoustic Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Lody Music
Lody Music
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Made Matrix
Made Matrix
Mastering Engineer

Şarkı sözleri

UMENIJAA
                             Verse 1
Nilienyeka sana kutafuta mapenzi ya kweli
Nimekupatpa wewe katika dakika za jiooni
Walinidharau nakunidanganya danganya
Wakapanda dau na kuniona me Sina mana
                            Bridge
Aweee Umenijaa umenijajaja Umenijaa
Umenijaa rohoni Umenijaa wewe aii wewe
Yan umenibaa Umenibabamba umenibaa
Umenijaa rohoni Umenijaa wewe aii wewe
                            Choraus
Ntadumu naee Ntaishi naee Ntaringa naee milele na mileleee
Ntadumu naee Ntaishi naee Ntaringa naee milele na mileleee
                             Verse 2
Oooooooh lody music on this one oohhhh
Umenijaa kichwani kwenye mwili , Umenijaa umeiteka na akili, umenijaa kwenye moyo Kwa ndani, Umenijaa jajaja
Watasema sana mbona ila hakuna wa kuingilia mapenzi, umenipa libwata na mie kwako ngazi kuachia siwezi
Mambo yaa kuukonda mwiili nishasahau, Mimi nishasahau ninakandwa mabegani alfajiri kanipandisha dau, Mimi nimepanda dau, ukweli huyu hapa amenijaa
                               Bridge
Aweee Umenijaa umenijajaja Umenijaa
Umenijaa rohoni Umenijaa wewe aii wewe (aii wewe)
Yan umenibaa umenibabamba Umenibaa (umenibamba)
Umenijaa rohoni Umenijaa ( Umenijaa) wewe aii wewe. (Umenijaaa)
                                  Choraus
Ntadumu naee (ntaaa) Ntaishi naee Ntaringa naee milele na mileleee
Ntadumu naee (eeheee) Ntaishi naee Ntaringa naee (ntaimba nae ntaimba nae) milele na mileleee. Outro
Lody music on this one (eeheee) umenijaaa Umenijaa jaaaa.
Written by: Lody Music
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...