album cover

lighter

767Hip-Hop/Rap2025
album cover
lighter adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak 7619080 Records DK tarafından 11 Nisan 2025 tarihinde yayınlandıPEDI-cure - EP
Yayın Tarihi11 Nisan 2025
Firma7619080 Records DK
BPM71
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Şarkı sözleri

Sikutaka kuwa driller iliniita kuisaka daily mpaka itajipa sina mamita yet but sita sita nimekaa manze joo zimenyita mistari za kuandika kama zimeisha najifanya naskiza kujituma bila malipo utapata unalipwa kaa Peter mi sina pattern naflow chini mpaka tutapata si ni matrapper so washa kidurban na usidai hujabeba lighter usidai joo nilikindia mbang'a usidai joo hiyo ni makata Look for a fucking lighter
Mans a sinner inakubalika ju Sunday najipata kanisa nimeshindwa kulala so naingia aluta nijipime my future na sidai kuwa looter so nakinda magunga nilimkuta kwao alidhani nitamchoma na ye ndio alichoma kwa coppers hakuona the next order nilikubali mi siwezi kuwa sober ndio maana navuta mafofo nadoz mchana magiz niko mboka nachana na gomba aliniita narcissist I agree siamini anything kuhusu sonder
You used to be fun now you a bum fala aliacha nare nikakafunga after siku refu navuva any minor inconvenience navuva Ulizia Odhile unaeza juta unless ni wada unatafuta nimeshinda nimesakwa mpaka wananifuata kwa superr nasaka the crown sijui ni nani amesunda itabidi nimake one manze na shuka she ain't my vibe but alidai atalipa sahii tuko date karura
Sikutaka kuwa driller iliniita kuisaka daily mpaka itajipa sina mamita yet but sita sita nimekaa manze joo zimenyita mistari za kuandika kama zimeisha najifanya naskiza kujituma bila malipo utapata unalipwa kaa Peter mi sina pattern naflow chini mpaka tutapata si ni matrapper so washa kidurban na usidai hujabeba lighter usidai joo nilikindia mbang'a usidai joo hiyo ni makata Look for a fucking lighter
Written by: Reglock Odhile

Shazam Alt Bilgi

Dil seç:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Bizi Takip Edin

Loading...