Müzik Videosu

Müzik Videosu

Krediler

PERFORMING ARTISTS
Ibraah
Ibraah
Performer
Ibrahim Abdallah Nampunga
Ibrahim Abdallah Nampunga
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Abdallah Nampunga
Ibrahim Abdallah Nampunga
Songwriter

Şarkı sözleri

Kamaaa
Gilly twende
Shout out to my crew
Tuko gang gang
Konde gang gang
Oya weee oya
Shout out to my baby
Picha linaanza kama ndoto
Najiona kama ndiyo nimezaliwa
Nilicho gundua dunia ni utoto
Nilipo gundua mi maiti mtarajiwa
Dunia inatisha wakati wewe unapambana kusali
Kuna wanga wanakuombea ufeli
Riziki ndiyo kisa
Wanakabana, wanayongana
Wambie kama life boti haachwi mtu feli
Wanangu mtaji pumzi, si unapumua
(Tunapumua mwanetu)
Struggle za life, we si unajua
(Tunazijua mwanetu)
Wanangu wa Temeke waliimba "kamua"
Life si unajua, unajua
(Ni kukamua mwanetu)
Life ni ku-run run, shida za kitaani taani (Oya)
Kwani asizijue ni nani
Iwe nyeusi ama kijani, kwenye riziki hakuna utani
Kama geto tunafua (Ni kukamua mwanetu)
Ni ku-copy na ku-paste
Ghafla maisha yamekuwa mepesi
Mchizi wa Bongo
Ana copy, ana paste
Oya wee, oya oya
Oya, wana ni copy na ku-paste
Ghafla maisha yamekuwa mepesi
Mchizi wa Bongo
Ana copy, ana paste
Oya wee, oya oya
Gilbert, mchizi wa Tandale
Alikuwa anauza mihogo koko, siku hizi anaishi Madale (Amejipata)
Fata ndoto zako, usifate za wale watakupoteza
Ngumi ya kichwa chapa kalale (Ni utata)
Pakanja pakanja, refarii na kiranja
Sister duu kala modo, brother men kapaka wanja
Vunga ukitukuta viwanja jicho jekundu (Yebaaaa, oya wee)
Japo hatujakula ganja
Wanangu mtaji pumzi, si unapumua
(Tunapumua mwanetu)
Struggle za life, we si unajua
(Tunazijua mwanetu)
Wanangu wa Temeke waliimba "kamua"
Life si unajua, unajua
(Ni kukamua mwanetu)
Life ni ku-run run, shida za kitaani taani (Oya)
Kwani asizijue ni nani
Iwe nyeusi ama kijani, kwenye riziki hakuna utani
Kama geto tunafua (Ni kukamua mwanetu)
Ni ku-copy na ku-paste
Ghafla maisha yamekuwa mepesi
Mchizi wa Bongo
Ana copy, ana paste
Oya wee, oya oya
Oya, wana ni copy na ku-paste
Ghafla maisha yamekuwa mepesi
Mchizi wa Bongo
Ana copy, ana paste
Oya wee, oya oya
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...