album cover
Afande
82.304
Music
Afande adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Independent tarafından 30 Nisan 2025 tarihinde yayınlandıAfande - Single
album cover
En Popüler
Geçtiğimiz 7 Gün
00:00 - 00:05
Afande geçen hafta ilk birkaç saniyesinde en sık keşfedilen şarkı oldu
00:00
00:05
00:15
00:25
00:35
00:40
00:50
01:10
01:15
01:20
01:30
01:35
02:05
02:15
02:35
02:40
03:10
03:25
00:00
03:42

Şarkı sözleri

[Verse 1]
Ibilisi alinipanda sa ningefanya nini
Nilijikuta najitetea sababu nina panga kiunoni
Ila afande sio kwamba nauza mi mwenyewe nauziwa
Ila kesi ya robbery afande nimesingiziwa
[Chorus]
Afande niligezee kamba
Ili niweze kukupanga afande
Yote sababu ya mchumba
Ndio maana mi naimba afande
Afande niligezee kamba
Ili niweze kukupanga afande
Yote sababu ya mchumba
Ndio maana mi naimba afande
[Verse 2]
Aya wee aya wee
Zuu chuu chu chu
Hiyo mideeni mideni
Ndo inafanya mi nakesha lokesheni
Afande niache chee chee chee niacheni
Nikadange nipe namba ntawatumieni
Ila tuongee ukweli afande una shi' ngapi
Kama una buku mbili nipe buku mi nabaki
Kibaharia wawili alafu ninakula bata
Mbona utanisitili sina mia sina gachi afande
[Chorus]
Afande niligezee kamba
Ili niweze kukupanga afande
Au niwe wako mchumba
Ndio maana mi naimba afande
Afande niligezee kamba
Ili niweze kukupanga afande
Yote sababu ya mchumba
Ndio maana mi naimba afande
[Verse 3]
We Masha Love bado hajajua singeli inachezwaje
Na Khadija Kopa bado hajajua singeli inachezwaje
Nana Mapozi bado hajajua singeli inachezwaje
Mariam Saula bado hajajua singeli inachezwaje
Waonyesheni mguu pande, mguu sawa
Tunaruka mguu pande, mguu sawa
Tunacheza mguu pande, mguu sawa
[Verse 4]
Aya wee che cheche
Cheche che cheche cheche che
Sikia sikia
Jamani lioneni lile pua lake kama mjagi
Eh mashauzi mingi mi mwenzenu simpendagi
Tumpige za Kichina China, za Kichina China (Khuu khaa)
Za Kichina China, za Kichina China (Khuu khaa)
Za Kichina China, za Kichina China (Khuu khaa)
Za ki Jet Li, za ki Jet Li (Khuu khaa)
Za Kichina China, za Kichina China (Khuu khaa)
Written by: Hashim Rajabu Zuberi, Zuhura Othman Soud
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...