album cover
Simuachi
album cover
Simuachi adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Officialmishy tarafından 2 Mayıs 2025 tarihinde yayınlandıSimuachi - Single
2 Mayıs 2025
FirmaOfficialmishy
BPM89
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Şarkı sözleri

[Intro]
Oooh oooh mmh
[Verse 1]
Nimefika kikomo
Nukta nukta nukta
Kikomo
Sipepesi kule sipepesi kule
Hapa mi
Jicho hapa mi namwona yeye
Ye ndio mwenye vigezo nipendavyo mimi
Mwisho wa maelezo kapendwa na mimi
Kanizuzua akili ubongo
Nilishatua hapa tulivu si kongo
[PreChorus]
Haya majigambo kiburi jeuri ananipa yeye
Tushevuka ng'ambo wawili nauli kalipa yeye
Haya majigambo kiburi jeuri anayenipa yeye
Tushevuka ng'ambo wawili nauli kalipa yeye ye yeye
[Chorus]
Mnasubiri nimwache yani simwachi ng'o
Mtandike majamvi mkae
Mnasubiri nimwache
Mkichoshwa na mwendo mpae
[Verse 2]
Wanayoyapa mapenzi shikamoo wapo sawasawa
Maana kwake sijui kujibu no yote sawasawa
Kaushika usukani dereva wa moyo wangu
Kapendwa na maruhani na vyote vya ndani yangu
Kanipumbaza na umbo lake
Huona ni kama si wake
Moyoni yupo pekee yake
Uwanja wote ni wake
[PreChorus]
Haya majigambo kiburi jeuri ananipa yeye
Tushevuka ng'ambo wawili nauli kalipa yeye
Haya majigambo kiburi jeuri anayenipa yeye
Tushevuka ng'ambo wawili nauli kalipa yeye ye yeye
[Chorus]
Mnasubiri nimwache yani simwachi ng'o
Mtandike majamvi mkae yani ndio penzi kwanza limeanza
Mnasubiri nimwache yani huyu huyu
Mkichoshwa na mwendo mpae (Yani ndio kwanza naongezanga kumpenda)
Written by: Mwanahamisi Mbega
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...