album cover
Moyoni
album cover
Moyoni adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Sol Generation Publishing Limited tarafından 30 Mayıs 2025 tarihinde yayınlandıMoyoni - Single
30 Mayıs 2025
FirmaSol Generation Publishing Limited
BPM
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

Sssssaaaa....
Sai Sai Saint P with that beat.
Nikiwaza tulivyopatana
A working day but we paid no mind On the floor tukidance piano aiyee Ukaona mi utanidanganya
And I took my time getting to know you To know you
And all that I know
I know you sold me a lie
Ni hasara kwangu jamani nilishaakubali Lakini moyoni
Moyoni nakuhisi bado ooh
Mmmh moyoni Moyoni moyoni Jamani moyoni Moyoni nakuhisi bado Mmmh I was falling You knew I was falling Ndio maana moyoni Moyoni nakuhisi bado
Huna utu wewe
Hupendi amani
Usiseme kamwe wataka kujieleza
 
Sijui ukweli nini
Jina lako Salim
Wacha ibaki siri mambo yako yaniumiza
Cuz I took my time getting to know you To know you
And all that I know
I know you sold me a lie
Ni hasara kwangu jamani nilishaakubali Lakini moyoni
Moyoni nakuhisi bado
Mmmh moyoni Moyoni moyoni Jamani moyoni Moyoni nakuhisi bado Mmmh I was falling You knew I was falling Ndio maana moyoni Moyoni nakuhisi bado
Mmmh moyoni
Moyoni moyoni
Jamani moyoni
Moyoni nakuhisi bado Mmmh I was falling You knew I was falling Ndio maana moyoni Moyoni ninakuhisi bado
I took my time kakuweka moyoni
I took a chance kukuweka moyoni iii I sacrificed kukuweka moyoni iiiiii Ndio maana moyoni iii
Ninakuhisi bado
Written by: Benard Isuwirio, Patrick Mbaru, Sheila Kahwai
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...