album cover
BEBA
6
Hip-Hop/Rap
BEBA adlı parça albümünün bir parçası olarak Black Market Records tarafından 6 Haziran 2025 tarihinde yayınlandıBEBA - Single
album cover
Çıkış Tarihi6 Haziran 2025
FirmaBlack Market Records
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji
BPM97

Krediler

PERFORMING ARTISTS
Josephyl
Josephyl
Vocals
Teslah
Teslah
Performer
Unspoken Salaton
Unspoken Salaton
Performer
Nancy Njeri
Nancy Njeri
Vocals
Brian Salaton Lemaindo
Brian Salaton Lemaindo
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Josephyl
Josephyl
Songwriter
Nancy Njeri
Nancy Njeri
Songwriter
Brian Salaton Lemaindo
Brian Salaton Lemaindo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kaywise
Kaywise
Producer

Şarkı sözleri

Zinakungam aje Jo vi easy
Umeacha msupa na Kuna mafisi
Geng na machupa na luku ya ofisi
We unamafeelings si tunamashillings
Ati zetu ziko top utadhani selling
Whine and kotch hii debe ni healing
Msupa ni wa Koch na Hana mmbo mingi
Tunaeza duu kwa koch ama twende chini
Msupa Jo ni coach vile anankilli
Utadhani ye ni tire changanya akili
Msupa kaa zakhayo vile anashuka chini
Navile anapanda juu kaa bei ya chingri
Unanbeba beba beba tukiwa kwa sofa tukicheza
Design ya mat umenibeba beba beba beba bebaaa
Unanbeba beba beba tukiwa kwa sofa tukicheza
Design ya mat umenibeba beba beba beba bebaaa
And If you don't give fuck and give to
You be playing am steady how I skip you
Crocodile tears I don't dig it
Nishakuambia wewe ni wa Mimi
Huku kukaliki mkono moja Kwa matiti
Wasupa wote wapige tiki
Tunashuka mpishi
Nikufungua mshipii
Tupatane na hio dishi
Nimepata wakudishi
Akitaka anaeza ishii
Lakini maishi si rahisi
Kwanza tupige chingri
Nikushike kama chungli
Manabadman na kidungi
Unanbeba beba beba tukiwa kwa sofa tukicheza
Design ya mat umenibeba beba beba beba bebaaa
Unanbeba beba beba tukiwa kwa sofa tukicheza
Design ya mat umenibeba beba
Unaeza niita papi
Am hold you down
Gyal siezi mind am take you whater town
Treat you right visha pete timogrown
Unachotaka me ntakupeea
Maji natokota muone anazitoka
Nipee yote staki quarter
Naigonga kama shack shack
Anataka more banging like a door
Anawika oooh no
Unanbeba beba beba tukiwa kwa sofa tukicheza
Design ya mat umenibeba beba beba beba bebaaa
Unanbeba beba beba tukiwa kwa sofa tukicheza
Design ya mat umenibeba beba
Written by: Brian Salaton Lemaindo, Joseph Juma, Nancy Njeri
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...