album cover
Enjoy
album cover
00:00
00:20
00:25
00:45
00:55
01:00
01:10
01:20
01:25
01:35
02:05
02:20
02:30
02:35
03:00
03:10
03:30
00:00
03:37
Geçtiğimiz 7 Gün
Enjoy geçen hafta yaklaşık 2 dakika and 35 saniye civarında en sık keşfedilen şarkı oldu

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

[Verse 1]
Hii leo
Acha tu niwaweke wazi
Mubaki na mishangao
Kuhusu haya mapenzi
Nataka kuyaeleza
[Verse 2]
Na leo
Tena waiteni paparazi
Warushe kwa mitandao
Siyataki mapenzi
Nataka jipongeza
[Verse 3]
Unayemwita your baby
Kumbe naye ana baby
Ooh unayemwona kipenzi
Ni mshenzi hakupendi
Ama kweli mtihani
Mambo mengi duniani
[Chorus]
Na mi stress siwezi ooh siwezi
Aahh bora nienjoy mmh
Maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
[Chorus]
Bora nienjoy
Maisha mafupi ni simple
Ya nini niteseke roho (Ooh ya nini ya nini)
Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo)
[Verse 4]
Kama kupenda
Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
Kama kupendwa mimii
Nitajipenda peke yangu (Ooh)
[Verse 5]
Kilichoniponza ufalaa
Kujiona simba kumbe swalaa
Kazama kwenye penzi uchwalaa
Badala ya kusaka miamalaa
[Verse 6]
Ail yoo oh
Toka ni date pesa (Enhee)
Sa napendeza (Enhee)
Na tena naenjoy (Enhee)
Na wanangu ma homeboy (Enhee)
Ooh account inasoma (Enhee)
Na kamwili kananona (Enhee)
We mwenyewe si unaona yani (Enhee)
Ai nasema boraa
[Chorus]
Bora nienjoy (Kwiri pi, pi, pi, pi, pi, pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakika)
Ya nini niteseke roho (Ya nini niteseke rohoo)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah)
[Chorus]
Bora nienjoy (Kwiri pi, pi, pi, pi, pi, pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakika)
Ya nini niteseke roho (Aahh iyeeiii ye)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah)
[Chorus]
Napenda nikilewa
Nipande juu ya meza
Minjonjo huku natema kingereza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza-za, za, za, za, za
[Chorus]
Bora nienjoy (Kwiri pi, pi, pi, pi, pi, pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakika)
Ya nini niteseke roho (Ooh ya nini ya nini)
Jiunge nami upoze koo (Ooh khoo khoo khoo khoo)
Written by: Juma Mussa Mkambala, Nasibu Abdul, RAYMOND MAZIKU, Salmin Kasimu Maengo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...