album cover

Donjo Maber

113.743Afro-Pop2026
album cover
Donjo Maber adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Iyanii Official tarafından 16 Ekim 2026 tarihinde yayınlandıKijana Wa Ingo
Yayın Tarihi16 Ekim 2026
FirmaIyanii Official
DilEnglish
BPM91
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

[Chorus]
Ikibamba sana basi pull it up
Selekta cheza doba once from the top, woooh
Donjo maber, donjo
Donjo maber, donjo maber
Chunisha speaker we mash it up
Fire, we light it up, woooh
Donjo maber, donjo
Donjo maber, donjo maber
[Verse 1]
Tuko tao CBD kwa penthouse
Wanadhani si bidii ni guess work
Lakini juu ya bidii tunazoza
Na ni ma grammy tu ndo tunangoja
Donjo maber kwa mdomo ni kuber
Na doba joh ni mwaki ukipenda imeliel
Napendwa na mapeng, na wote joh ni ten
Nikikusalimia unanijibu tu maber
[PreChorus]
Napenda
Napenda vile magala wamekuja wamebeba
Napenda
Napenda vile mamanzi wamekuja wameiva, aah
[Chorus]
Ikibamba sana basi pull it up
Selekta cheza doba once from the top, woooh
Donjo maber, donjo
Donjo maber, donjo maber
Chunisha speaker we mash it up
Fire, we light it up, woooh
Donjo maber, donjo
Donjo maber, donjo maber
[Verse 2]
Makwela na machaji wanazitoka
Starehe hubamba sana baada ya mboka
Masanse watiaji tunawatoka
Salamu huanga moja na ni top shota
Bado bijinali, Dufla huanga mkali
Ninazunguka town mpaka mashinani
Collabo na Iyanii anthem mtaani
Wakiuliza waambie tuko CBD ndani
[PreChorus]
Napenda
Napenda vile madem wamekuja wamebeba
Napenda
Napenda vile makwela wamekuja wameiva, aah
[Chorus]
Ikibamba sana basi pull it up
Selekta cheza doba once from the top, woooh
Donjo maber, donjo
Donjo maber, donjo maber
Chunisha speaker we mash it up
Fire, we light it up, woooh
Donjo maber, donjo
Donjo maber, donjo maber
[Outro]
Donjo maber donjo
Donjo maber donjo maber
Written by: Ian Oure Okwemba

Shazam Alt Bilgi

Dil seç:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Bizi Takip Edin

Loading...