album cover

Temporary

61.994Music2022
album cover
00:00
00:15
00:20
00:25
00:40
00:55
01:00
01:05
01:30
01:40
01:45
01:55
02:05
02:15
02:25
03:50
04:00
04:25
05:05
08:05
00:00
08:37
Geçtiğimiz 7 Gün
Temporary geçen hafta yaklaşık 55 saniye civarında en sık keşfedilen şarkı oldu

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

Tokea mwanzo, tumekusudiwa, tumeahidiwa baraka za Bwana

Twajua thamani (Yetu kwa Bwana), sisi ni warithi wa (Zake baraka)

Inuka simama wewe umebarikiwa, inuka simama kwake Bwana

Magumu unapitia ni temporary (Temporary)
Shida unayopitia ni temporary (Temporary)
Watesi unawaona ni temporary (Temporary)
Say temporary (Temporary)
Just temporary (Temporary)
Magumu unapitia ni temporary (Temporary)
Shida unayopitia ni temporary (Temporary)
Watesi unawaona ni temporary (Temporary)
Say temporary (Temporary)
Inuka simama wewe, umebarikiwa, inuka simama kwake Bwana
Inuka simamma, wewe umebarikiwa, inuka simamma kwake Bwana
Tokea mwanzo, tumekusudiwa, tumeahidiwa baraka za Bwana
Tokea mwanzo, tumekusudiwa, tumeahidiwa baraka za Bwana
Twajua thamani (Yetu kwa Bwana), sisi ni warithi wa (Zake baraka)
Twajua thamani (Yetu kwa Bwana), sisi ni warithi wa (Zake baraka)
We are more than conquerors (Conquerors), conquerors (Conquerors)
Say (Tunashinda zaidi ya kushinda, through Christ)

We are more than conquerors (Conquerors), say conquerors (Conquerors)
Ooh (Tunashinda zaidi ya kushinda, through Christ)
Written by: Neema Gospel Choir

Shazam Alt Bilgi

Dil seç:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Bizi Takip Edin

Loading...