album cover
Bebe
1.329
Afro-Pop
Bebe adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Mavokale tarafından 12 Mayıs 2013 tarihinde yayınlandıHadithi Za Mapenzi (Chapter 1)
album cover
Çıkış Tarihi12 Mayıs 2013
FirmaMavokale
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji
BPM101

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Krediler

PERFORMING ARTISTS
Melody Mbassa
Melody Mbassa
Congas
COMPOSITION & LYRICS
Melody Mbassa
Melody Mbassa
Composer
Chriss Tibenda
Chriss Tibenda
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Salvardor
Salvardor
Producer

Şarkı sözleri

Mapenzi ama kweli upofu
Na Hilo nimelijua leo
Na Moyo wangu ulikua mpofu
Yote kwa sababu ya uzuri wako
Mhhh
Ya leo lazima niseme
Yani leo lazima ninene
Mhhh ya leo (niacheni niseme)
Yani leo niacheni ninene
Ulinivunja moyo nikahisi nimetupwa
Najihisi vibaya nikaja me kuokolewa
Nilijua mwisho wetu, mimi na wewe
Hata kabla hatujaanza safari yenyewe
Naa
Nilikuona kipofu na nilijua nitashindwa
Bye sweet bye
Bye mpenzi byee
Mamaaa byee
Aaah eeh eheee
(Vita mashamba)
(Papa Eliu)
Bado nashika mikono yako
Ndani ya fikra zangu ndotoni
Wakati napolala lala
Nafsi yangu ni tupu kwa muda
Na hasa ulivyopiga goti mbele yangu
(Uuuhh uuuuuh)
(Lalaaa lalaaa lalaaa)
Umenivunja moyo nikahisi nimetupwa
Najihisi vibaya nitaja me kosolewa
Nilijua mwisho wetu
Mimi na wewe
Hata kabla hatujaanza safari yenyewe
Na nilikuona kipofu
Na nilijua nitashindwa
Nachukua kilicho changu
Maana naona unaniona mjinga
Bye sweetie byee
Byee babe byee
Nilikupenda ukanipenda (L.O.V.E)
Hukunipenda ukaniacha(L.O.VE)
Nikipendwa nimtashikilia (L.O.V.E)
Yalikua toka zamani (L.O.V.E)
Nisilie nisihuzunike (L.O.V.E)
Ninyamaze tena nisilie (L.O.V.E)
Wengine wamebarikiwa (L.O.VE.)
Wengine wamepewa na nani?
Aaah aaaah
Naona ni kama ndotoni, naamka
Aiii aah
Written by: Chriss Tibenda
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...