album cover
Kitanda
12.704
Afro-Beat
Kitanda adlı parça albümünün bir parçası olarak SMH tarafından 22 Ağustos 2018 tarihinde yayınlandıKitanda - Single
album cover
Çıkış Tarihi22 Ağustos 2018
FirmaSMH
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji
BPM95

Krediler

COMPOSITION & LYRICS
Frank Felix Ngumbuchi
Frank Felix Ngumbuchi
Songwriter

Şarkı sözleri

Kama ni adhabu tu
Inatosha nishajifunza
Inua macho juu
Yafute nisamehe
Au ngoja niondeke tu
Yakiisha utanijuza
Mana kunakoendea
Nahisi utaniua
Sasa unaenda wapi lakini
Au ndo unarudi tena
Kule umalayani
Hayajapowa ya rohoni
Unataka tena
Kuyapandisha kichwani
Nitakaaje na mtu haongei
Wala makosa ye hayatambui
Sura yako hainiongopei
Acha tu nichape lapa
Nikulazimishe kubaki
We ni nani embu kwenda huko
Mtu mwenyew huna hata kitu ndani
Unachotegemea
Kitanda kitanda
We unategemea
Kitanda kitanda
Mbona mi sitegemei
Kitanda kitanda
Sijawahi tegemea
Kitanda kitanda
Unataka
Sema unataka iweje
Kama maneno hata ya babu
Nishatumia bado unaniona bwege
Mi nataka
Nijue unanichukuliaje
Kunichanganya kwenye gongo
Na mi beer hilo unalionaje
Tangu asubuhi
Nawasikia tu
Ugomvi mavurugu
Yanarudia tu
Mnampa faida nani
Usiri wa ndani
Wajue mpaka majirani
Mbona sisi ni wapangaji
Wenzenu tunagombana
Ila yanaishia ndani
Kimya kimyaaaa!!!
Hayakuhusu baba
We rudi nenda
Ukapambane na yako
Umeruka vyumba saba
Kama si umbeya ni nini
Unawajibu watu vibaya
Huna hata haya
Unajikuta we ndo kidunchaya
Na siku yakikukuta
Sipo utamfata nani
Mana kila mtu ushamsutaga
Nitakaaje na mtu hajitambui
Hajui mwema hajui adui
Sura yako hainiongopei
Acha tu nichape lapa
Nikulazimishe kubaki
We ni nani embu kwenda huko
Mtu mwenyew huna hata kitu ndani
Unachotegemea
Kitanda kitanda
We unategemea
Kitanda kitanda
Mbona mi sitegemei
Kitanda kitanda
Sijawahi tegemea
Kitandanda kitanda
Unataka
Sema unataka iweje
Kama maneno hata ya babu Nishatumia bado unaniona bwege
Mi nataka
Nijue unanichukuliaje
Kunichanganya kwenye gongo
Na mi beer hilo unalionaje
Unataka
Nambie unataka iweje
Kama maneno
Hata ya babu nishatumia bado unaniona bwege
Mi nataka nijue unanichukuliaje
Kunichanganya kwenye gongo
Na mi beer hilo unalionaje
Written by: Frank Felix, Frank Felix Ngumbuchi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...